Christine Mosha aka Seven... dada mmoja hivi full uzungu na ndio maana anashindwa kuendana na game la sasa ambalo ndani yake ni full uswahili! Huyu Seven nadhani ndo ana-deal na talents acquisition kwenye kampuni ya Rockstar4000 Entertainment ambayo ipo South Africa wakishirikiana na Sony Music! Ni kampuni kubwa lakini at least kwa Tanzania, wameshindwa vibaya sana manake kuna wakati walim-recruit Rose Mhando vile vile.... sijui na yeye kafia wapi!7 ndo nan mkuu
