Christine Mosha aka Seven... dada mmoja hivi full uzungu na ndio maana anashindwa kuendana na game la sasa ambalo ndani yake ni full uswahili! Huyu Seven nadhani ndo ana-deal na talents acquisition kwenye kampuni ya Rockstar4000 Entertainment ambayo ipo South Africa wakishirikiana na Sony Music! Ni kampuni kubwa lakini at least kwa Tanzania, wameshindwa vibaya sana manake kuna wakati walim-recruit Rose Mhando vile vile.... sijui na yeye kafia wapi!7 ndo nan mkuu
Asante chige.hili tatizo la kiba hapa kijiweni nimeshabishana na watu kuwa taitizo la kiba ni mashabiki.na mawazo yangu yote nilitegemea video ya kiba ingetoka mapema kabla ya audio ila imekuwa kinyume.hakuna kitu kibaya kama kufanya kazi kwa preshaChristine Mosha aka Seven... dada mmoja hivi full uzungu na ndio maana anashindwa kuendana na game la sasa ambalo ndani yake ni full uswahili! Huyu Seven nadhani ndo ana-deal na talents acquisition kwenye kampuni ya Rockstar4000 Entertainment ambayo ipo South Africa wakishirikiana na Sony Music! Ni kampuni kubwa lakini at least kwa Tanzania, wameshindwa vibaya sana manake kuna wakati walim-recruit Rose Mhando vile vile.... sijui na yeye kafia wapi!
Kwenye suala la video ni kama Kiba na management yake hawajaona umuhimu wa kuanza na video au kuzindua video na audio kwa wakati mmoja! Yaani Seven ingawaje ni mjanja fulani lakini bado hajafahamu kwamba hakuna formal social networks za audios ambako wadau watakutana sehemu moja na kuanza kujadili ngoma iliyoachiwa! Wakati hilo hajafahamu; ni kama pia hawajafahamu kwamba Youtube ni social network ya videos ambako wadau watakutana na kujadili release husika na hivyo kuendelea kutoa kick ya msanii na kazi yake!Asante chige.hili tatizo la kiba hapa kijiweni nimeshabishana na watu kuwa taitizo la kiba ni mashabiki.na mawazo yangu yote nilitegemea video ya kiba ingetoka mapema kabla ya audio ila imekuwa kinyume.hakuna kitu kibaya kama kufanya kazi kwa presha
Kama huwa wana mazoea kama ya D na Ney hapo sawa ..lakini nikiangalia tweet ya jokate napata picha kuwa ujumbe haujapokelewa kiutani....lakini sikuwai kufikiri kama Ben Pol na Ali wana utani kama wa D na Ney....! Pengine wameanzia mbali..!Mkuu Ruttashobolwa Salaam!!
Kuhusu message delivery ya Ben Pol hata mimi imenishangaza kidogo na ndio maana nikajiepusha kuleta ushabiki! Hata hivyo, niliamua kukaa kimya kv sijawahi kufuatilia mawasiliano ya Ben Pol na Kiba huwa yanakuwa kuwa vp kwenye social networks! Nikahisi huenda ni washikaji fulani hivi ambao hawaoni taabu kuchanana hadharani! Mtu kama Nay wa Mitego anaweza akawasilisha ujumbe kama huo dhidi ya Diamond kiutani utani kupitia social networks kumbe akawa ndo anamaanisha! Mawasiliano yao kwenye social networks na hata kazi zao yanasadifu hilo lakini huyu Ben Pol na Kiba, labda wadau wanaweza kutujuza manake hata ukiiangalia hiyo tweet ya Ben dizaini kama imekaa kimasihara flani hivi lakini ndo keshamaanisha!!!
Kama huwa wana mazoea kama ya D na Ney hapo sawa ..lakini nikiangalia tweet ya jokate napata picha kuwa ujumbe haujapokelewa kiutani....lakini sikuwai kufikiri kama Ben Pol na Ali wana utani kama wa D na Ney....! Pengine wameanzia mbali..!
haina noma ndugu nimekusoma. me naamini mambo yatabadilika tu.Na linapokuja suala la video; si tu kwamba anachelewa bali hata strategy anayotumia sio mzuri! Ushabiki wa muziki hv sasa umehamia zaidi kwenye video! Sasa unapoanza kutoa audio b4 video, tarajia response kuwa ndogo! Na ukichelewa sana kutoa video hadi watu wakaizoea audio; hata ukitoa video kali; bado itaonekana ya kawaida unless iwe na kitu very special... kuwe na utundu wa sanaa ndani yake!!
Sijaiona tweet ya Jokate lakini hata tweet ya Kiba inaonesha ni kama hakupendezwa na tweet ya BenKama huwa wana mazoea kama ya D na Ney hapo sawa ..lakini nikiangalia tweet ya jokate napata picha kuwa ujumbe haujapokelewa kiutani....lakini sikuwai kufikiri kama Ben Pol na Ali wana utani kama wa D na Ney....! Pengine wameanzia mbali..!
Fanyeni kampeni insta na twiter tengenezeni hashtag mkiweza kupata post mia 40 mta trend na lazima ashtuke. Kama mnampenda msaidieni 7 aliwapoteza nakaya na rose mhando yeye yupo bize na ishu zake nyie mnapata presha.
Tena nimegundua Ben Pol ni jasiri sana... unajua Waswahili tushazoea unafiki! Kwa kawaida ni haters ndio wanaweza kukupa makavu namna hiyo lakini ninavyomuona Ben wala haoneshi kuwa na chuki yoyote kwa Kiba zaidi ya kumfikishia ujumbe!!Vyovyote itavyokua.. Mimi binafsi naona Ben kamsaidia sana Kiba.
Kiba ni jeuri , kiburi na habadiliki. Mtu kama huyu ili ashaurike inabidi nawe ujitie uchizi.
BIG UP BEN.
Hofu yangu tu ni mashabiki kande yataanza bifu na Ben bila sababu.
Hapo kwenye mashabiki ndiko kuliko nifanya kuamini njia aliyotumia sio sahihi... maana nimeona mashabiki wa kiba wamevamia ukurasa wa Ben na kumtukana sana...Vyovyote itavyokua.. Mimi binafsi naona Ben kamsaidia sana Kiba.
Kiba ni jeuri , kiburi na habadiliki. Mtu kama huyu ili ashaurike inabidi nawe ujitie uchizi.
BIG UP BEN.
Hofu yangu tu ni mashabiki kande yataanza bifu na Ben bila sababu.
Kwenye mwana tulisema atabadilikahaina noma ndugu nimekusoma. me naamini mambo yatabadilika tu.
Mnh! Wallah Dar es salaam kuna vituko!!! Hivi mkoa chumba sebule (self) inaweza kufika shi'ng ngapi? Manake mji ushanishinda huu!!!
Hapo kwenye mashabiki ndiko kuliko nifanya kuamini njia aliyotumia sio sahihi... maana nimeona mashabiki wa kiba wamevamia ukurasa wa Ben na kumtukana sana...
umeongea point ila ishu inakuja kwenye magement yake. me naamini watakuwa wamejifunza kuhusu hili jambo.Kwenye mwana tulisema atabadilika
Kwenye chekecha tulisema atabadilika
Kweny nagharamia tulisema atabadilika
Na leo wasema atabadilika the_name umesahau sikio la kufa
Bella hawezi muhangaikia kiba tena.umeongea point ila ishu inakuja kwenye magement yake. me naamini watakuwa wamejifunza kuhusu hili jambo.
kuhusu video ya nagharamia Bella nae angejibu sababu alisema hatatoa audio mpaka video iwe tayari
KAFA.cOm kuna tatizo hapo. nowdays mziki ushindani upo kwenye good videos.Bella hawezi muhangaikia kiba tena.
Nadhani hata yeye ashachoka kumsisitozia umuhimu wa video ya nagharamia..bella sa hv ametarget video yake na koffi