Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

Huyu dada namuonea huruma sana inaonyesha alimpenda sana ben pol
 
Bora tu mkuu ungeandika kiswahili [emoji16][emoji1787]hapa nilipo sina mbavu na hicho ki-English chako cha tuition
 
Pole sana. But usifanye hivyo. Huo sio uamuzi sahihi. Its okay kumchukia huyo manzi, its okay kupata maumivu ya moyo, its okay kujisikia unahitaji kuwa pekee yako na upweke. Ila its not okay kuamini you are doing just fine ukiishi namna hiyo.

Unachofanya ni kumvalisha kila mwanamke nafsi ya yule binti ambae kwa wakati huo alikuwa ni msichana tu. Dont let emotions get the best of you.

Unachohitaji ni mwanamke wa kumpenda na yeye akakupenda so that mjenge maisha yenu. Huyo binti yupo somewhere, ila haujakutana nae hadi sasa kwasababu unaamini wanawake wote wapo kama kale kademu kaliko lala mbele na Michael Jordan wa St. Anthony ya mbagala.

Just let that feeling go and embrace life for what it is. Ukipata huyo manzi mpya ishi nae kwa mfumo mpya na sio ule wa zamani. Usimpe mitihani ya kumpima wala kumwambia hiyo story sababu atakuona upo nae kumpima ubora wake dhidi ya yule demu wako.

So get out there and start dating some real good women...... Women are looking for guys like u wenye mapenzi ya kindaki ndaki..... Go and find them wapo tele.....
 
Ben nilidhani ni mtu makini sana,lakini mwaka juzi ndo niligundua kumbe jamaa ni kilaza wa hali ya juu..
Ha ha ha, hata mimi huyu jamaa nilikuwa namuona yuko smart sana kumbe ndo hivyo tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…