Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa wistaz hotel, mweeeh Dunia ina maajabu yake kwa kweli.I missed you too mara mia kenda tisini na kenda kwa tashwishwi zote kabisa 'in kabudi voice'
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu waswalisuna wana msimamo mkali sana hawachelewi kupiga takbir
Yaani wewe huendi peponi 😂😂😂Asimuache bana, Anelisa kajitahidi kutoka kuwa shangazi hadi kabinti....
[emoji3][emoji3][emoji3]Isije ikawa sababu ni yeye hana korodani, au bibie hana kiharage...
Talaka za wanandoa wa siku hizi zina visa sana...
Kweli mad Max [emoji3][emoji3][emoji3]Yeah.
"I told you not to touch my phone"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bora Ben angalau
Mimi nilisilimu ili niwe mwislamu kama mwaija wangu ,cha ajabu eti nikapokonywa na salumu mokoroboi..!
kama ni kweli profeseli alikula kisu kimoja matata hasa demu ana viwango sgr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa wistaz hotel, mweeeh Dunia ina maajabu yake kwa kweli.
Katutia aibu sana Kama taifa,Huyu ni marioo wa taifa...yaan alifata mali kabisa, na malaywer wamemdanganya atapata pasu, subiri ajionee maajabu
Ni aibu gani? Mbona mataifa ya ulaya hii ipo sana, kuomba talaka inategemea na ukubwa wa tatizo ndani ya ndoaNi aibu Sana kwa mwanaume eti unakwenda mahakamani unaomba talaka uachane na mkeo.
Sijui huu ujasili vijana mnautoaga wapi
Mzee na ung'eng'e wote huo unaopiga ndo tuseme umeshindwa kujua A level? Hadi unaiita High level.Mi nilushawakia kitambo sana. Nilikuwa na demu Shule ya msingi Mnazi Moja Dar es Salaam hapohapo. Tukaamua you twende together St. Anthony's Mbagala. Kilichofanyika huwezi amini. Nimebwagwa mazima kwasababu kakutana jamaa yuko High level halafu anapiga basketball kama Michael Jordan. Kilichorndelea mimi niliamua kujificha kwenye vitabu kwa miaka minne. To make the story short, since that time, the only woman I trust is my mother. I never get married, and not going to marry anybody. I'm doing it big and those who put me on a shame Lane while I was a little boy, I thank them so much, because without them I could not make this big
Kikubwa si hilo figa kubwa hapo ni upendo,mdada alimpenda sana huyu kijana ila kina Divana wamempenda zaidi.Naona chuki imeshaingia bidada anapeperusha midole ya kati tu wanaume jamani da!View attachment 1747380View attachment 1747381
Mtoto ana tako , mtoto ana hela , Ben Pol unakwama wapi ?? Acha ujinga wewe hebu endelea kusukuma figo ya huyo mtoto ....wengine tukipata hyo chance tunatulia kabisa ....