Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

Demu anaonekana ana kiu ya kuwekwa ndani ila kimuonekano wake Ni km chini hana maajabu, wanawake wenye pesa wengi wana bahati mbaya na mapenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eti chini hana maajabu..jamani
 
Isije ikawa sababu ni yeye hana korodani, au bibie hana kiharage...

Talaka za wanandoa wa siku hizi zina visa sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda alibadili dini baada ya kuoa...

Bibie akawa anampakulia kitimoto kwa siri mpaka aliposhtuka kuona pua ya kitimoto kwenye mchuzi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Demu anaonekana ana kiu ya kuwekwa ndani ila kimuonekano wake Ni km chini hana maajabu, wanawake wenye pesa wengi wana bahati mbaya na mapenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ben-Pol-with-Anerlisa-5.jpg
83893821_120490559503199_4425159162588321938_n.jpg

Mtoto ana tako , mtoto ana hela , Ben Pol unakwama wapi ?? Acha ujinga wewe hebu endelea kusukuma figo ya huyo mtoto ....wengine tukipata hyo chance tunatulia kabisa ....
 
Kama Ni ishu ya kunipeleka leba hata miaka 16 anaweza kunipeleka, nimeuliza hivyo sababu unaona pesa tena za mwanamke na tako ndo vigezo vya ndoa kudumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee kiboko, eti hata was 16 yrs.
 
Bora Ben angalau
Mimi nilisilimu ili niwe mwislamu kama mwaija wangu ,cha ajabu eti nikapokonywa na salumu mokoroboi..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom