chrispaulas son
Member
- Sep 18, 2016
- 48
- 28
kuna watu ambao wmezoea kufanya hivyo na wangefanya wao hata tusingeshituka ben pol ndo mtu pekee ambaye jamii ilimtegemea kama kiyoo bora kwa watoto na wakubwa ndio maana watu wamereact vibaya...ndo mjini tunavoishi ndugu..ila tuwape mudaa..kwan bongo muvi wako wapi sasa bwanah
Labda katekewa kwenye kiwanda cha kukamua alizeti....Mtu unatekwa afu ungaa hivo
Ben Pol aliporelease picha zile watu mapovu yaliwatoka sana. Hawakutaka hata kufuatilia sababu ya ben pol kupiga picha zile. Nakumbuka nilikuwa nasema tena kwa msisitizo kuwa Ben pol si mwehu kivile, ana maana yake, pengine anatengeneza video. Sasa leo sijui watasemaje.
Nchi za wenzetu kwenye wasanii waliopiga hatua vitu kama hivi vipo kila siku. Tanzania msanii akifanya ni inshu. ifikea hatua wabongo -ofcourse na wakenya na waganda tubadilike
Crew yake walifanya kaziDu! ama kweli akili ni nywele! vp yale mafuta alipakwa na nani?
halafu hata haihusiani na madai yke ya kwamba anatoa wimbo unaohusu kutekwa alikuwa anajaribu kujtetea tuNyimbo yenyewe nimeisikiliza ni mbovu.
Ifikie mahali tuukubali u-Africa wetu mkuu hayo ya wenzetu tuyaache...hivi wewe kweli unaweza kusaula nguo zote ukabaki uchi wa mnyama na ukakubali kukaa mbele ya mwanaume mwenzako akupige picha?na sijui alijipaka mafuta maana mwili wake una kama mng'ao kitu kinachotisha zaidi maana binaadamu wameumbiwa tamaa alompigay picha angeweza kuona tamaa akasababisha balaa.Ben Pol aliporelease picha zile watu mapovu yaliwatoka sana. Hawakutaka hata kufuatilia sababu ya ben pol kupiga picha zile. Nakumbuka nilikuwa nasema tena kwa msisitizo kuwa Ben pol si mwehu kivile, ana maana yake, pengine anatengeneza video. Sasa leo sijui watasemaje.
Nchi za wenzetu kwenye wasanii waliopiga hatua vitu kama hivi vipo kila siku. Tanzania msanii akifanya ni inshu. ifikea hatua wabongo -ofcourse na wakenya na waganda tubadilike
ni vizuri kuukubali uafrika wetu lakini haimaanishi tuishi enzi za wahenga. kuna baya gani lililfanyika hapo?Ifikie mahali tuukubali u-Africa wetu mkuu hayo ya wenzetu tuyaache...hivi wewe kweli unaweza kusaula nguo zote ukabaki uchi wa mnyama na ukakubali kukaa mbele ya mwanaume mwenzako akupige picha?na sijui alijipaka mafuta maana mwili wake una kama mng'ao kitu kinachotisha zaidi maana binaadamu wameumbiwa tamaa alompigay picha angeweza kuona tamaa akasababisha balaa.
Mtoto wa kiume aliekamilika hata kama ni kwenye kazi yenye manufaa na maslahi kiasi gani haezi fanya vile,kwanini avue nguo zote ajipake mafuta mwilini ni kusema kwamba kina Roma walipakwa mafuta?basi kama Roma alipakwa mafuta vile inanipa ukakasi kwamba walifanywa kitu kibaya sana na amefanya ili kumdhalilisha mwenzake.ni vizuri kuukubali uafrika wetu lakini haimaanishi tuishi enzi za wahenga. kuna baya gani lililfanyika hapo?
kazi ya sanaa ni ngumu, si rahisi kama unavyofikiria wewe. Bila ubunifu hakuna sanaa.Mtoto wa kiume aliekamilika hata kama ni kwenye kazi yenye manufaa na maslahi kiasi gani haezi fanya vile,kwanini avue nguo zote ajipake mafuta mwilini ni kusema kwamba kina Roma walipakwa mafuta?basi kama Roma alipakwa mafuta vile inanipa ukakasi kwamba walifanywa kitu kibaya sana na amefanya ili kumdhalilisha mwenzake.
Angevaa hata boxer basi
Acha kuongeza chuvmvi. Kuna ubauya upi mtu akiigiza akiwa hajavaa nguo? Acheni fikra finyu. Mwenzenu ben pol sasa anatengeneza pesa kwa picha alizopiga. aliijua hadhira yake na ndiyo inayomwingizia pesa. nyie endeleeeni kupiga kelele eti yuko uchi yuko uchi....
Je akitaka kutoa wimbo wa mashoga lazma agongwe? MhhhhKwa hiyo msanii akitaka kurelease wimbo unaohusiana na kutekwa inabidi apige picha tako nje?
Nchi za wenzetu nchi za wenzetu kwani lazima tufanye kama wao mbona wenzetu wahindi wanajitahidi kufanya yao na wametusua mpaka hollywood wanawaelewa.
Ukimuuliza atakwambia sijui mbona flani wa narekani alifanya hivi... Sisi siyo wamarekani.