Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

ndo mjini tunavoishi ndugu..ila tuwape mudaa..kwan bongo muvi wako wapi sasa bwanah
kuna watu ambao wmezoea kufanya hivyo na wangefanya wao hata tusingeshituka ben pol ndo mtu pekee ambaye jamii ilimtegemea kama kiyoo bora kwa watoto na wakubwa ndio maana watu wamereact vibaya...
 
Ben Pol aliporelease picha zile watu mapovu yaliwatoka sana. Hawakutaka hata kufuatilia sababu ya ben pol kupiga picha zile. Nakumbuka nilikuwa nasema tena kwa msisitizo kuwa Ben pol si mwehu kivile, ana maana yake, pengine anatengeneza video. Sasa leo sijui watasemaje.
Nchi za wenzetu kwenye wasanii waliopiga hatua vitu kama hivi vipo kila siku. Tanzania msanii akifanya ni inshu. ifikea hatua wabongo -ofcourse na wakenya na waganda tubadilike

Du! ama kweli akili ni nywele! vp yale mafuta alipakwa na nani?
 
Ameshawaelewesha BASATA, maana wao ndio walikuwa wanamtafuta hawakumuelewa.
 
Ben Pol aliporelease picha zile watu mapovu yaliwatoka sana. Hawakutaka hata kufuatilia sababu ya ben pol kupiga picha zile. Nakumbuka nilikuwa nasema tena kwa msisitizo kuwa Ben pol si mwehu kivile, ana maana yake, pengine anatengeneza video. Sasa leo sijui watasemaje.
Nchi za wenzetu kwenye wasanii waliopiga hatua vitu kama hivi vipo kila siku. Tanzania msanii akifanya ni inshu. ifikea hatua wabongo -ofcourse na wakenya na waganda tubadilike
Ifikie mahali tuukubali u-Africa wetu mkuu hayo ya wenzetu tuyaache...hivi wewe kweli unaweza kusaula nguo zote ukabaki uchi wa mnyama na ukakubali kukaa mbele ya mwanaume mwenzako akupige picha?na sijui alijipaka mafuta maana mwili wake una kama mng'ao kitu kinachotisha zaidi maana binaadamu wameumbiwa tamaa alompigay picha angeweza kuona tamaa akasababisha balaa.
 
ni vizuri kuukubali uafrika wetu lakini haimaanishi tuishi enzi za wahenga. kuna baya gani lililfanyika hapo?
 
Sasa wimbo wakutekwa ndo apake mafuta ili ngozi iwe nyororo kama makahaba wa Kaumba Morogoro?

Si angeomba maninja wampige bakora na wamchane viwembe iwe na uhalisia?
 
ni vizuri kuukubali uafrika wetu lakini haimaanishi tuishi enzi za wahenga. kuna baya gani lililfanyika hapo?
Mtoto wa kiume aliekamilika hata kama ni kwenye kazi yenye manufaa na maslahi kiasi gani haezi fanya vile,kwanini avue nguo zote ajipake mafuta mwilini ni kusema kwamba kina Roma walipakwa mafuta?basi kama Roma alipakwa mafuta vile inanipa ukakasi kwamba walifanywa kitu kibaya sana na amefanya ili kumdhalilisha mwenzake.
 
kazi ya sanaa ni ngumu, si rahisi kama unavyofikiria wewe. Bila ubunifu hakuna sanaa.
 
Angevaa hata boxer basi
idiot 564.jpg
 
Acha kuongeza chuvmvi. Kuna ubauya upi mtu akiigiza akiwa hajavaa nguo? Acheni fikra finyu. Mwenzenu ben pol sasa anatengeneza pesa kwa picha alizopiga. aliijua hadhira yake na ndiyo inayomwingizia pesa. nyie endeleeeni kupiga kelele eti yuko uchi yuko uchi....

hahahahaha kwahiyo amelipwa au
 
Kwa hiyo msanii akitaka kurelease wimbo unaohusiana na kutekwa inabidi apige picha tako nje?
Nchi za wenzetu nchi za wenzetu kwani lazima tufanye kama wao mbona wenzetu wahindi wanajitahidi kufanya yao na wametusua mpaka hollywood wanawaelewa.
Ukimuuliza atakwambia sijui mbona flani wa narekani alifanya hivi... Sisi siyo wamarekani.
Je akitaka kutoa wimbo wa mashoga lazma agongwe? Mhhhh
 
Back
Top Bottom