Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,139
Acha kukurupuka, fuatilia mwanzo mwisho kitu anachokifanya ben pol.Kwa hiyo ukitekwa unavuliwa nguo,unafungwa mikono alafu unapakwa mafuta kuanzia mgongoni mpaka kwenye makalio alafu wanakupiga na picha au sio?!
Kama ujumbe ulikuwa kutekwa kwanini akutekwa akiwa na nguo zake kulikuwa na ulazima gani wa kutuonyesha makalio yake yenye mafuta?!