Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

Kwa hiyo ukitekwa unavuliwa nguo,unafungwa mikono alafu unapakwa mafuta kuanzia mgongoni mpaka kwenye makalio alafu wanakupiga na picha au sio?!

Kama ujumbe ulikuwa kutekwa kwanini akutekwa akiwa na nguo zake kulikuwa na ulazima gani wa kutuonyesha makalio yake yenye mafuta?!
Acha kukurupuka, fuatilia mwanzo mwisho kitu anachokifanya ben pol.
 
Acha kuongeza chuvmvi. Kuna ubauya upi mtu akiigiza akiwa hajavaa nguo? Acheni fikra finyu. Mwenzenu ben pol sasa anatengeneza pesa kwa picha alizopiga. aliijua hadhira yake na ndiyo inayomwingizia pesa. nyie endeleeeni kupiga kelele eti yuko uchi yuko uchi....
Hakuna aliyebisha kwamba hatengenezi pesa ila kinachotushangaza ni mwanaume kupiga picha ukaposta tako nje na nakushangaa wewe kuunga mkono.
Sasa chumvi gani wakati wewe mwenyewe unasema ndo usanii kama aliofanya ben pol sasa kwa style hiyo siku akitaka imba madhara ya ushoga kwa usanii unao usema si atarelease posta ana....
 
mbona nyimbo zote alizoimba hakupiga picha yoyote na zilikubalika iweje hii..tatizo wasanii wetu wanaishi kwa kiki ubunifu ziro
ndo mjini tunavoishi ndugu..ila tuwape mudaa..kwan bongo muvi wako wapi sasa bwanah
 
Ukoloni mambo Leo unatutesa sana waafrika, leo tunaambiwa eti huoni marekani wenzetu wanavo fanya, kesho utasikia huoni mbinguni wanavo fanya pia!!! Si mnataka tukopi kila kitu
 
Mi swali langu moja tu
Nani aliyekupaka mafuta KE au ME?
 
Hakuna aliyebisha kwamba hatengenezi pesa ila kinachotushangaza ni mwanaume kupiga picha ukaposta tako nje na nakushangaa wewe kuunga mkono.
Sasa chumvi gani wakati wewe mwenyewe unasema ndo usanii kama aliofanya ben pol sasa kwa style hiyo siku akitaka imba madhara ya ushoga kwa usanii unao usema si atarelease posta ana....
twende vizuri tu tutafika. Picha ya Ben Pol ina tatizo gani kimaadili? Hata ikiwekwa kwenye tangazo la kambuni ya simu au kampuni yoyote na kubandikwa kwenya bango kubwa halafu likawekwa katikati ya mji hakuna atakayesema picha haina maadili. acheni ushabiki bila kuwa na hoja
 
Ben Pol aliporelease picha zile watu mapovu yaliwatoka sana. Hawakutaka hata kufuatilia sababu ya ben pol kupiga picha zile. Nakumbuka nilikuwa nasema tena kwa msisitizo kuwa Ben pol si mwehu kivile, ana maana yake, pengine anatengeneza video. Sasa leo sijui watasemaje.
Nchi za wenzetu kwenye wasanii waliopiga hatua vitu kama hivi vipo kila siku. Tanzania msanii akifanya ni inshu. ifikea hatua wabongo -ofcourse na wakenya na waganda tubadilike
Umelalamika tu hujatoa point yq maana
Leo kwenye Jahazi la Clouds fm Benpol amefunguka na kudai kuwa kile ambacho alikilenga katika kupiga picha hizo kimefanikiwa kwa asilimia 100%.

Benpol amefunguka kuwa picha zile zina maudhui kulingana na wimbo wake anaotarajia kuutoa masaa machache yanayokuja, kulingana na kazi yake ijayo inahusisha mambo ya utekwaji ndio maana aliamua kufanya kitu kama hicho.
 
Kwa hiyo msanii akitaka kurelease wimbo unaohusiana na kutekwa inabidi apige picha tako nje?
Nchi za wenzetu nchi za wenzetu kwani lazima tufanye kama wao mbona wenzetu wahindi wanajitahidi kufanya yao na wametusua mpaka hollywood wanawaelewa.
Ukimuuliza atakwambia sijui mbona flani wa narekani alifanya hivi... Sisi siyo wamarekani.
Sasa mkuu wewe ndo nomekuelewa acha huyo kolo aliyelalamika tu na pumba zake
 
ulitaka apige akiwa kavaa kanzu wakati scene haihitaji kanzu? Kabla hujahukumu kitu tafuta kwanza maudhui ya hiyo kitu, ufanye upembuzi ndio utoe hukumu. kwa kifupi mnaolaumu na kulalama mlikurupuka tu
Usitupange wewe sisi hatuna akilibkama zako, ben pol kafanya unanga, kwani kutekwa hadi uwe uchi na upakwe wese? Au wimbo unasema alitekwa kisha akabakwa?,,,,....tumia akili sio ushabiki na mihemko
 
Ndio apige picha tako nje mwili mzima unameremeta na kuteleza mafuta. Big no!
 
Ben Pol aliporelease picha zile watu mapovu yaliwatoka sana. Hawakutaka hata kufuatilia sababu ya ben pol kupiga picha zile. Nakumbuka nilikuwa nasema tena kwa msisitizo kuwa Ben pol si mwehu kivile, ana maana yake, pengine anatengeneza video. Sasa leo sijui watasemaje.
Nchi za wenzetu kwenye wasanii waliopiga hatua vitu kama hivi vipo kila siku. Tanzania msanii akifanya ni inshu. ifikea hatua wabongo -ofcourse na wakenya na waganda tubadilike
NI kawaida ya watu wanaotenda jambo la aina moja kuteteana na kuaminisha wengine alichotenda mwenzao ni sawa na nikizuri waafrica mnaangamia kwa kukosa maarifa mnalazimiswa kufanya vitu ambavyo nafsi zenu zinakaa lakini tamaa za kutaka fedha na maisha mazuri zimewafanya kuwa vituko ktk dunia hii
 
Haya bwana Detective J , sasa tuzungumzie tamaduni zetu, bila shaka ni za kibongo. Kwenye tamaduni zetu kuna kibaya kipi fanani kutengeneza kazi yake ya sanaa na kuonesha matukio halisia kulingana na maudhui yake?
Huo wimbo wenyw wa kutekwa ni wa mapenzi sasa alichokifikisha kwa hadhila ni kipi hapo mkuu?
 
Wale wana maadili yao na tamaduni zao.. ambazonni tofauti na za kwetu.
Kwao wakifanya powa.. ila kwetu lazima tuone ni kitu cha ajabu.. why? Sababu si tamaduni zetu mtoto wa kiume kupiga picha kama ile
Usinitanie mkuu. Hebu achana na utamaduni wao wa kushare ideas kwenye mtandao.

Acheni kujifanya mnajua kukosoa kila kitu.

Ben pol yuko sawa kutokana na kazi yake
 
Back
Top Bottom