Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano
1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu anakupa jibu yupo busy bila kukuanbia nitakuwa busy basi naomba tufanye siku Fulani
2. Wewe ndio unaeangaika kumtafuta kwenye message au phone mara nyingi na akikutafuta yeye analilia shida zake.
3. Ukikutana nae kwa mara Kwanza hakuulizi kuhusu wewe ujue hayo mahusiano hayawezi kuwa na afya.