Ben Pol v/s Belle 9 kwenye 'chorus' za Hip-Hop

Ben Pol v/s Belle 9 kwenye 'chorus' za Hip-Hop

kwenye koras za hiphop ben pol kaachwa mbali sana na belle 9 yani mbali hata sijui mile ngap aisee
 
Ni wasanii manguli wa rnb ambao ubingwa wao ktk kutengeneza nyimbo nzuri,kusimama vyema ktk viitikio na kuwa na sauti zao murua walizojaaliwa....Belle 9 ni mbunif mzur wa idea,ana sauti ya kipekee,anaimba kwa hisia na pia akishirikishwa ktk kiitikio huwa hakosei hata kama anaimba na underground....Ben pol yupo vizur kwa sauti,kuimba acapela,kusimamia viitikio na katika uandishi...sikiliza viitikio vya nyimbo zifuatazo;
-BELLE 9
1.kila cku by Nikki mbishi
2.inachoma by shetta
3.dear gambe & 13 by young killer
4.dini by afande selle
5.sirudi jela by bonta
6.naongea na roho by jos mtambo.....

-BEN POL
1.Sikati tamaa by Darasa
2.play boy by Nikki mbishi
3.bendera ya chuma by Fid q
4.sitaki kazi by Nikki wa pili
5.mama yeyo by Gnako
6.Fununu by Young dee .........NANI MKALI KTK KUIMBA VIITIKIO VyA HIP HOP?
Mpaka saizi bell 9 anaongoza kwa 95% kura,nimepitia maoni ya wadau.
 
Hao wote hawaniwezi Mimi,kaniiskilizeni kwenye:-
-Ccm mbele kwa mbele
-Wapo
-Tanzagiza
-sizonje
 
Belle ni nyoko upande huu.

Sikiliza Naongea na roho mule ndani kafanya balaa.
 
Belle ni hatari huyo jamaa kwenye chorus..kuna ile ya Kikosi cha mizinga..maisha yangu nyimbo tosha!!
 
Back
Top Bottom