Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Belle mtambo na jose ni nani??Belle ni mtambo
Bwana weeee mle Ben pol kakimbizwa hadi siyo vizuri.aisee belle 9 ni hatari sana kuna wimbo wameimba wote unaitwa anaishi naye aisee belle 9 kapoteza
Atakua chameleoneBelle mtambo na jose ni nani??
Mkuu hyo tuna play ikoje??BeLLe9
Alitisha sana humu
•dear gambe
•nimechokwa
•255
•tuna pLay (remix)
Mpaka saizi bell 9 anaongoza kwa 95% kura,nimepitia maoni ya wadau.Ni wasanii manguli wa rnb ambao ubingwa wao ktk kutengeneza nyimbo nzuri,kusimama vyema ktk viitikio na kuwa na sauti zao murua walizojaaliwa....Belle 9 ni mbunif mzur wa idea,ana sauti ya kipekee,anaimba kwa hisia na pia akishirikishwa ktk kiitikio huwa hakosei hata kama anaimba na underground....Ben pol yupo vizur kwa sauti,kuimba acapela,kusimamia viitikio na katika uandishi...sikiliza viitikio vya nyimbo zifuatazo;
-BELLE 9
1.kila cku by Nikki mbishi
2.inachoma by shetta
3.dear gambe & 13 by young killer
4.dini by afande selle
5.sirudi jela by bonta
6.naongea na roho by jos mtambo.....
-BEN POL
1.Sikati tamaa by Darasa
2.play boy by Nikki mbishi
3.bendera ya chuma by Fid q
4.sitaki kazi by Nikki wa pili
5.mama yeyo by Gnako
6.Fununu by Young dee .........NANI MKALI KTK KUIMBA VIITIKIO VyA HIP HOP?
Ben polG warara muweke pembeni,
Hapa kura yako kwa nani...?
Ahaaa!!!Ben pol
Daaah huu wimbo naupenda sanaisee belle 9 ni hatari sana kuna wimbo wameimba wote unaitwa anaishi naye aisee belle 9 kapoteza
kwa hiyo avatar yako, nikajua haya mambo kwenu haram! [emoji56] [emoji56] [emoji56]Daaah huu wimbo naupenda san
Ni haram ila baas tu nafsi imejisahaukwa hiyo avatar yako, nikajua haya mambo kwenu haram! [emoji56] [emoji56] [emoji56]
Sikati tamaa wa Darasa.Ahaaa!!!
Wimbo gani unao-uona kafanya vyema katika nyimbo alizoshilikishwa...?
Mimi kura yangu kwa Bell 9 (bell tisa).