Ben Pol v/s Belle 9 kwenye 'chorus' za Hip-Hop

kwenye koras za hiphop ben pol kaachwa mbali sana na belle 9 yani mbali hata sijui mile ngap aisee
 
Mpaka saizi bell 9 anaongoza kwa 95% kura,nimepitia maoni ya wadau.
 
Hao wote hawaniwezi Mimi,kaniiskilizeni kwenye:-
-Ccm mbele kwa mbele
-Wapo
-Tanzagiza
-sizonje
 
Belle ni nyoko upande huu.

Sikiliza Naongea na roho mule ndani kafanya balaa.
 
Belle ni hatari huyo jamaa kwenye chorus..kuna ile ya Kikosi cha mizinga..maisha yangu nyimbo tosha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…