Ben Pol, vipi tena kijana huyu?

Ben Pol, vipi tena kijana huyu?

sasa nimegundua kwa nini dodoma wamechoma watafiti moto...kwa akili hizi[emoji119]
 
Jf raha sana yaani comment za kwenye huu uzi zimenifurahisha na kuniondolea stress zote za kazi
 
Ndo maana nampenda alikiba, hanaga mambo yakiboya
 
Wanaanzaga hivi hivi, mwishoe anakuwa 'kichongeo cha penseli' rasmi.

Ama kweli dunia ishavaa dela.

-Kaveli-
 
Sinikama joti na bambo tuu... Ama!? Ila kuna dalili mbaya sana ndani ya hii bongoflava industry.... Muda Haudanganyi....
 
mxcp480px-Sarungan.jpg
mxcpOmar-Epps-defends-wearing-a-skirt.jpg
 
Angeweka na kampasuo kwa mbele angependeza kweli,halafu wanawake wanamwambia "mwanaume figa babu weeee" Snura anamalizia back stage kwa kicheko heeheeeee ndomana nilidendekana nae.
Vijana wana kazi sana
 
Back
Top Bottom