Ben Saanane aliniunganisha na wauza kemikali za migodini kutoka India, nikawa napeleka Msumbiji migodini. Leo simpati


Either hujui kitu au unapotosha ukweli unaoujua.

Ulimsikiliza Zitto bungeni alivyokuwa anazungumzia kupotea kwa Ben Saanane ?

"Mh Speaker kwa jinsi tulivyofatilia na polisi walisema kabisa kwamba Ben amechukuliwa na TEETH kwahiyo wao kama polisi wameishia hapo hawawezi kwenda kuwahoji TEETH,Simu ya Ben ilionekana Mikocheni(Hapo kuna kambi ya Mateso ya TEETH then ikaonekana Mburahati kisha ikazimwa ,hapo Mburahati ni kama Stakishari kuna Task Force wa Hatari - Proffesional Killers" - Zitto 2018 Bungeni.

Mkolomije alikuwa na Genge lake la uhalifu ambalo lilikuwa linaundwa na organs zote za ULinzi na Usalama na ndilo lililomteka Ben Saanane kisha kwenda kumkabidhi Mzilankende wa CHATTLE na habari ikaishia hapo CHATU akafanya yake.
 
Alimtukana,degree zake za India kaendelea kutukana huko yuko hapo 3 world na akawa kwenye hicho chama cha ajabu.
Anazulumu watu analewa hovyo
hapo ubungo karibu ya hizo hostel
wametembea nae mi sijui,ila ni kujiangalia tu.
Mzilankende wa CHATTLE na habari ikaishia hapo CHATU akafanya yake.
 
Alimtukana,degree zake za India kaendelea kutukana huko yuko hapo 3 world na akawa kwenye hicho chama cha ajabu.
Anazulumu watu analewa hovyo
hapo ubungo karibu ya hizo hostel
wametembea nae mi sijui,ila ni kujiangalia tu.

Chanzo cha kuuawa kwa Ben ni kuchallenge Phd ya "MTU FURANI'. ,hayo mengine ni camouflage.
 
....ninayokula pesa mpaka leo basi tu....
Kwa mbali naona ill-motive ya mleta mada kuanzisha uzi huu juu ya Ben. Key word ya Kemikali haijaletwa kwa Bahati mbaya!!!
Kwa wazoefu wa humu JF watakumbuka sakata la Ndugu Ruyagwa kutangaza "kuzamisha ukoo na Panya wote" kisha watakumbuka mtu aliyekuwa anatembea na sumu mkononi...na mtu huyo alikuwa anahusishwa na Chama cha siasa wakati huo. Sumu ni Kemikali!
 
Nadhani hujasahau suala la Ruyagwa kuzamisha ukoo na Panya wote na la yule mtu aliyekuwa anatembea na sumu mkononi!!!
 
Kuna mtu alisema haya ya kutekana ni DRAMA..!! Na mwingine aliukataa mjadala uhusuo watekaji..!! Mwingine akasema labda mpaka watekwe wa karibu yao kindugu ndo watashituka..!!
 
Kwa hiyo alitengeneza camouflage...iliafanyiwe hicho unachotaka kuaminisha Umma? Au Mimi ndiyo sielewi kiasi cha kuingia uwanjani na jembe badala ya Jezi na viatu vya njumu?

Nazungumzia madai ya kusema Ben alikuwa anadhulumu watu aliokuwa analewa nao ,kuna tuhuma zozote zilizotolewa kuhusu Ben wakati yupo hai za udhulumati wake? madai mengi yamekuja baada ya kuuawa ndiyo wahalifu wanaspin ili kuaminisha umma kwamba ben amepotezwa na watu aliowadhulumu wakati si kweli Zitto amefatilia hadi Polisi na polisi wakakiri Ben amechukuliwa na TEETH maneno hayo aliyasema Bungeni.
 
....ni kuchallenge.....
Just curious, ndiyo maana ya kuwa shabiki wa fikra tunduizi; hivi Kuna siku Hayati Magufuli (RIEP) aliwahi kulalamikia jambo hili la kijana huyu ama adharani ama kwa watu wake wa Karibu na kutishia?

Unaweza kutuletea ushahidi wa hili ambao hautatiliwa mashaka yoyote?
 
Ila iko siku uchunguzi huru utakuja kufanyika na kuweka wazi watu wote waliopotea toka enzi za Mwl Nyerere na hatima yao.

Uchunguzi specifiki kwa watu waliouawa ,kupotea ni GENERAL ,wapo waliopotea kwa matatizo ya afya ya akili/Kupoteza kumbukumbu ,wapo waliopotea kwa ajili ya mapenzi(wanatoroka kwenda kuishi na mwenza kwa kificho ,nishawahi kushuhudia binti alitoroka akaenda kuishi na mwanamme) ,wapo waliopotea kwa kufungwa jela bila ndugu kujua ,wapo waliopotea kwa kuliwa na wanyama ,wapo walipotea kwa kufa kwa ajali etc Ila kuna watu wamepotea kwa Kupotezwa na SIRIKALI hao ndiyo UCHUNGUZI Ufanyike.
 
Muulize Bashite alikuwa anawasiliana na Ben ili wazungumze kuhusu nini? Alikuwa anafanya juu chini akutane na ben ,siku mbili kabla ya kukutana Ben akapotea.
 
Kama ana watoto/mtoto/mke itembelee familia yake
 
Wewe ni mmoja tupo wengi, majonzi ni mengi. Machozi ya wengi gharika kwa yyt aliyethubutu kufanya lolote kwa Ben.
Karma is real......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…