King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kesi yake ya kwanza hapa kuna mwanamke wa kariakoo aliandika alimtapeli.
Hapo hakua kwenye siasa.
Mambo ingine mnasingizia watu tu.
Mzilankende hawezi kushughulika na hiyo taka.
Alikua anatishia watu wenye siasa zao wamlipe asiwaanike.
Muulizeni Mbowe anajua yuko wapi.
Nyie mnahangaika kwenda kuandamana mtapigwa mwenyekiti anapata ruzuku anagawana na mkwe wake nyie mmeumizwa.
Kesho anakuja na porojo zingine.
Either hujui kitu au unapotosha ukweli unaoujua.
Ulimsikiliza Zitto bungeni alivyokuwa anazungumzia kupotea kwa Ben Saanane ?
"Mh Speaker kwa jinsi tulivyofatilia na polisi walisema kabisa kwamba Ben amechukuliwa na TEETH kwahiyo wao kama polisi wameishia hapo hawawezi kwenda kuwahoji TEETH,Simu ya Ben ilionekana Mikocheni(Hapo kuna kambi ya Mateso ya TEETH then ikaonekana Mburahati kisha ikazimwa ,hapo Mburahati ni kama Stakishari kuna Task Force wa Hatari - Proffesional Killers" - Zitto 2018 Bungeni.
Mkolomije alikuwa na Genge lake la uhalifu ambalo lilikuwa linaundwa na organs zote za ULinzi na Usalama na ndilo lililomteka Ben Saanane kisha kwenda kumkabidhi Mzilankende wa CHATTLE na habari ikaishia hapo CHATU akafanya yake.