chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Pale Mrangi anapomuongelea MrangiPombe sijawahi kunywa toka nazaliwa, hata mrangi hua tukikutana nakunywa maji na juice tu, leo nimesikitika sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Mrangi anapomuongelea MrangiPombe sijawahi kunywa toka nazaliwa, hata mrangi hua tukikutana nakunywa maji na juice tu, leo nimesikitika sana
Hata kusoma tunavoandika Kwa utofauti haujui? Akili za watoto hizoPale Mrangi anapomuongelea Mrangi
Mrangi anajifanyaga kitengo, yaani kufungua kijiwe cha shoe shine pale posta, na kufanya kazi kwa miaka mingi, basi, akifika mtaani na visimu vyake feki, anawatishaHata kusoma tunavoandika Kwa utofauti haujui? Akili za watoto hizo
😆 umeniuaaaMrangi anajifanyaga kitengo, yaani kufungua kijiwe cha shoe shine pale posta, na kufanya kazi kwa miaka mingi, basi, akifika mtaani na visimu vyake feki, anawatisha
Pole sana.Leo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.
Hapa nimewaza nilivOfahamiana na Ben, hadi mchango wa harusi yake nilichangia na akawa rafiki na akanipa deal nzito ninayokula pesa mpaka leo basi tu.
Alipo popote Ben, leo nimemkumbuka Kwa wema wake kwangu,
Mkuu nadhani swali umelielewa! Kama hujalielewa naweza kufafanua zaidi. Lakini, kama umelielewa na unatumia bandiko hili kulipuuza tuendelee na mjadala.Muulize Bashite alikuwa anawasiliana na Ben ili wazungumze kuhusu nini? Alikuwa anafanya juu chini akutane na ben ,siku mbili kabla ya kukutana Ben akapotea.
Hayo unayajua wewe,hata huko chamani kwake alikua na maadui.Chanzo cha kuuawa kwa Ben ni kuchallenge Phd ya "MTU FURANI'. ,hayo mengine ni camouflage.
Zitto alishamaliza kazi kwenye uchunguzi wa nani aliyemteka Ben au haujaangalia Bunge? Kwa kifupi waliomteka Ben na kumuua ni watu wa TEETH ,ingekuwa mtu tofauti na wao angeshakamatwa kitambo ,hauwezi kufanya tukio lolote la uhalifu bila kuacha trace.Hayo unayajua wewe,hata huko chamani kwake alikua na maadui.
Wanajua vizuri yuko wapi,mi sina chama ila muache uongo.
Mkuu nadhani swali umelielewa! Kama hujalielewa naweza kufafanua zaidi. Lakini, kama umelielewa na unatumia bandiko hili kulipuuza tuendelee na mjadala.
R.i.P Classmate...😥Leo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.
Hapa nimewaza nilivOfahamiana na Ben, hadi mchango wa harusi yake nilichangia na akawa rafiki na akanipa deal nzito ninayokula pesa mpaka leo basi tu.
Alipo popote Ben, leo nimemkumbuka Kwa wema wake kwangu,
Kuna asilimia kubwa umelielewa swali vema. Lakini, kitendo cha kutokuja na maelezo ya kutosha kuhusu ushahidi na kumalizia bandiko lako kwa kuamsha hisia za hizuni kwa Watanzania sote tupendao amani, kinapunguza Objectivity yako katika kupata ukweli hasa wa wahalifu hawa ni akina nani!Vaa Picha kwamba Ben ni mwanao ,ungetetea genge la wauaji wa mwanao au siasa inakuondolea UTU? Huyo aliyetoa amri yuko wapi?
kweli huna chama?Hayo unayajua wewe,hata huko chamani kwake alikua na maadui.
Wanajua vizuri yuko wapi,mi sina chama ila muache uongo.
Okay sawaGenta mtani wangu hua tunataniana sana