Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
hii ni account FAKE ya KIGOGO.Muuaji wake huyu hapa,kazi kwenu kumuondoshaView attachment 1273885
Mmekosa hata waganga wa kienyeji??Dah roho yangu huniuma sana jinsi Ben saanane alivyotoweshwa na majahiri haya akiwacha ndg na jamaa zake wakimlilia mwanawao, at the same time walomteka wakiplead majukwaani ati tuendelee kuwaombea.
Kweli wanamdhihaki sana Mungu wetu wa haki tena hadharani.
Tunamuomba Mungu atendee kama walivyomtendea Ben, aamin
Ni kweli kabisa,sio yeye tu kila damu ya yenye kuuliwa na mtu lazima uyo mtu mu aliyefanya ivyo nae kupewa adhabu na Mwenyezi MunguDamu ya Ben Saa8 haitoenda bure.
Waganga wote wakiongozwa na yule wa magomeni wapo kijani, na wale ma-gambosh 700 wapo kijani walishindwa kumuokoa jiwe na kile kisulisuli alichopigwa na Nape kule kusini mpaka akakatisha ziaraMmekosa hata waganga wa kienyeji??
Alihoji phD ya Magufuli, jamaa wakam-rest in Peace!Tunaishi na mashetani dunia hii.Nini kosa la Ben Saanane!?
Mtu Kama Mange we ulimfuata? Mange alikuwa na maslahi yake binafsi Sasa kwanini atujumuishe wengine baada ya kuona hajapata kitu?Mange huyu aliyeimba ngonjera 2015 halafu leo nijifanye namsapoti,never apambane na hali yakeWewe umechukua hatua gani? Mikwara mingi nyuma ya keyboard mpaka dada Mange kachukia
Damu hiyo humlilia mtu na vizazi vyake mpaka cha nne.Ni kweli kabisa,sio yeye tu kila damu ya yenye kuuliwa na mtu lazima uyo mtu mu aliyefanya ivyo nae kupewa adhabu na Mwenyezi Mungu
Yapi agfanyayo zaidi ya nyie kumtuma Sabaya amvunjie mashsmba yake, Kumlazimisha NANDY atoe uroda, nlicheka sana.Iko siku mkijua afanyayo Mbowe mtamuweka kwenye Crusher asagwe mpaka abakie unga, mnajificha nyuma ya keyboard mkichnganya watu kwa uongo
Mama yake Ben Mpaka ameugua, tumbo la uzazi lina muuma akikumbuka changamoto za mimba ya Ben alafu mshamba mmoja kamuua na kumweka kwenye kiroba , Mungu atalipa tuDah roho yangu huniuma sana jinsi Ben saanane alivyotoweshwa na majahiri haya akiwacha ndg na jamaa zake wakimlilia mwanawao, at the same time walomteka wakiplead majukwaani ati tuendelee kuwaombea.
Kweli wanamdhihaki sana Mungu wetu wa haki tena hadharani.
Tunamuomba Mungu atendee kama walivyomtendea Ben, aamin