Ben Saanane kumuondosha muuaji wake kama Joseph Muscat kwa kumuua Daphne Caruana Galizia?

Ben Saanane kumuondosha muuaji wake kama Joseph Muscat kwa kumuua Daphne Caruana Galizia?

Wewe ambaye hujalala umefanya nini zaidi ya kutuletea huu umbeya wa Malta?

Uki-sneak your nose kwenye mambo ya watu gharama yake ni hiyo na hii ni duniani kote.
Unajua kisa cha huyu mwandishi aliyeuawa ama nyie lumumba mnahalalisha exra-judicial killings?
Alikuwa anachunguza ufisadi wa kampuni ya rafiki wa Waziri mkuu wa Malta, WTF.

 
Unajua kisa cha huyu mwandishi aliyeuawa ama nyie lumumba mnahalalisha exra-judicial killings?
Alikuwa anachunguza ufisadi wa kampuni ya rafiki wa Waziri mkuu wa Malta, WTF.

Yeye unamhusu nini huo ufisadi?

Why didn't she mind her fvcking business.

Kwani Snowden kaua watu hadi apitie anayopitia?
 
Iko siku mkijua afanyayo Mbowe mtamuweka kwenye Crusher asagwe mpaka abakie unga, mnajificha nyuma ya keyboard mkichnganya watu kwa uongo
Kama wewe wajua afanyayo Mbowe,basi na GoT itakuwa inajua. Je,mbona hawamchukulii hatua?
 
Ipo siku Ben atasema hata kama haitakua kwa sauti atasikika hapo ndio Zamu ya jiwe na gurup lake watakua wanalipa kama warivyo tenda Mungu mwema sana
 
Huyu hapa muuaji wa chadema jaji mfawidhi,
tapatalk_1574414219590.jpeg
 
Kwani alishakufa au? Maana nijuavyo ni kuwa haonekani alipo.

Kaenda kutafuta maisha , tumsubiri, ila damu yake lazma itembee na watu kama ninyi, hata kama si wewe uliyemuweka kwenye kiroba ila unashabikia na kuona ni sawa.
 
Kaenda kutafuta maisha , tumsubiri, ila damu yake lazma itembee na watu kama ninyi, hata kama si wewe uliyemuweka kwenye kiroba ila unashabikia na kuona ni sawa.
Kwanza unamjua? Maana naona unajua hadi aliwekwa kwenye kiroba.
 
Ben alishakufa mkuu,ripoti zinasema "MTU FURANI" ndio aliyeshika "BOMBA" aka MGUU WA KUKU akamfumua Ubongo.
Sasa mbona hutoi taarifa hizo rasmi ili mbivu na mbichi zijulikane? Au na wewe ni sehemu ya utekelezaji wa tukio hilo? Maana ukificha uovu, na wewe ni muovu. Wewe una taarifa nyeti kama hizi halafu unatoa humu jf ukiwa umejificha kwenye sura za akina J. Savimbi.
 
Dah roho yangu huniuma sana jinsi Ben saanane alivyotoweshwa na majahiri haya akiwacha ndg na jamaa zake wakimlilia mwanawao, at the same time walomteka wakiplead majukwaani ati tuendelee kuwaombea.

Kweli wanamdhihaki sana Mungu wetu wa haki tena hadharani.

Tunamuomba Mungu atendee kama walivyomtendea Ben, aamin
Aisee [emoji1][emoji1]
 
Ben alishakufa mkuu,ripoti zinasema "MTU FURANI" ndio aliyeshika "BOMBA" aka MGUU WA KUKU akamfumua Ubongo.
Hapa ndo hua nachoka na watanzania. Sasa kumbe taarifa zote unazo ila hifanyi chochote cha msaada ila ni maandamano tu kwenye keyboard. Mfano hiki unachofanya hapa kinamsaidiaje Ben au familia yake? Zima data chukua yai viza kamponde muhusika kama ilovotokea Malta. Ni kelele tu, mikwara isiyokuwa na msingi.
 
Tatizo la JF sio pa kupaamini Sana, humu humu kuna.mtu alisema Ben yupo Cyprus na watu wakaweka like za kutosha ndio maana Uzi unaomuhusu Ben nakuwa mzito kuchangia
Kwani alishakufa au? Maana nijuavyo ni kuwa haonekani alipo.
 
hii ni account FAKE ya KIGOGO.
Hii akaunti wewe mlamba nyayo wa LUMUMBA ndio umeitengeneza .

akaunti halisi ya KIGOGO ni Kigogo2014 na siyo Kigogo20I4

Nahisi nyie WALAMBA NYAYO NA WAUAJI mna Zero brain kama Bashitee, angalia hiyo "1" na "I" zinavyo tofautiana, haya kajipangeni tena mje kuddanganya wasukuma wenzenu



Mnateseka na Mbowe wakati mlishasema CHADEMA imekufa, sasa si mbaki na NLD, TPP MAENDELEO, NRA, CCK, JAHAZI ASILIA, CUF , TLP ambavyo mna ushirika navyo?

CHADEMA Imekufa kifo cha mende, bado tu mnahangaika na maiti?
"akaunti halisi ya KIGOGO ni Kigogo2014 na siyo Kigogo20I4"

Nakuona unachosema.
Nakuona tuu afu nasema hiiiiii
 
Waziri Mkuu wa Malta Joseph Muscat, nchi ambayo haijawahi kuwa na maandamano wala mkwamo wa kisiasa na ambaye amekuwa akipendwa pomoni ametupiwa mayai viza, yeye na wapambe wake na waandamanaji baada ya kugundulika kwamba alihusika kumuua mwandishi wa habari za kichunguzi mwanamama Daphne Caruana Galizia ambaye alikuwa akichunguza .

The same case ingekuwa hapa Tanzania, watu wanaua waandishi, wagombea na kadhalika halafu mmelala tu, sijui mtajibu nini kwa Mungu?

Kwa unafiki mkubwa mnakanyaga madhabahu ya Bwana na kwa kiburi eti uchaguzi ni huru na wa haki huku mkimtumia yule bwana wa ndoa za mitala "Jafo" kuhalalisha uchafuzi huu.

Mungu hadhihakiwi bwana Jafo, atatokea mwanamke mmoja atakubebesha mdudu, okay siemi mengi, namwachia Mungu na unafiki wako mapenzi yake yatimie kwako.
Jafo mnamuonea sema tu hatuna utamaduni Wa kujiuzuru sababu ya njaa
 
Leo unasema haya wakati mwaka jana alikupanulisha vidole
Mtu Kama Mange we ulimfuata? Mange alikuwa na maslahi yake binafsi Sasa kwanini atujumuishe wengine baada ya kuona hajapata kitu?Mange huyu aliyeimba ngonjera 2015 halafu leo nijifanye namsapoti,never apambane na hali yake
 
Back
Top Bottom