Ben Saanane kumuondosha muuaji wake kama Joseph Muscat kwa kumuua Daphne Caruana Galizia?

Ben Saanane kumuondosha muuaji wake kama Joseph Muscat kwa kumuua Daphne Caruana Galizia?

Hapa ndo hua nachoka na watanzania. Sasa kumbe taarifa zote unazo ila hifanyi chochote cha msaada ila ni maandamano tu kwenye keyboard. Mfano hiki unachofanya hapa kinamsaidiaje Ben au familia yake? Zima data chukua yai viza kamponde muhusika kama ilovotokea Malta. Ni kelele tu, mikwara isiyokuwa na msingi.
Awamu ya 5 inaongozwa kwa mkono wa chuma mzee,washamba wamekabdhiwa nchi,bashite anaongoza genge la wauaji,ngoja era yao iishe ndio mambo yote yatawekwa wazi,kwasasa ngoja tuongee kicode ili tusikutane na mkono wa pilato na herode.
 
Back
Top Bottom