Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Damu za wasio na hatia zikimwagika shambani Hakuna zao lolote litaota kwenye ardhi hio,na nchi ugeuka laana kwa kila kifanywacho uenda kombo
daa maneno yenye kuumiza sana pale unapo kaa chini na kuyatafakari kwa makini..
 
Bongo flavor za Kisiasa, Ben bado anajaribu kuuza Jina lake la Kisiasa nje ya Jamiiforums lakini bado hajafanikiwa. Uki log off JF ndio umem switch off Ben
Sijui leo hii kama unakumbuka hii pumba uliyoandika?? Ni kwa akili kama zako ndio maana Tanzania ni nchi maskini sana licha ya kuwa na rasilimali... Tunakosa kabisa watu wenye reasoning na uwezo wa kuchanganua mambo ndio maana mnaongea lolote tu mnalojisikia bila kupiga hesabu ya impact yake kwa miaka 5 au 10 ijayo!!

Shame on you
 
Na huyo dikteta akae akijua mwisho wa dhambi ni mauti maisha duniani hayazidi miaka 100 duniani tunapita tu..... Akija kufa afahamu huko mbinguni au kuzimu ni maisha ya milele na kwa haya anayofanya kuzimu inamsubiri atalia na kusaga meno usiku kucha na mchana milele... Yes milele na atajuta kwa uhuni wote anaofanyia watu.

Kuna watu alipouawa gadaffi walimuonea huruma ila ni visasi kama hivi ndio vilijenga chuki..... Yes yeye ndio ana bunduki na majeshi hivyo wananchi wa kawaida hatumuwezi ila nachofahamu hatoishi milele na siku ipo atalala kaburini atakuwa yeye peke yake na Roho yake mbele ya MUNGU wake akisomewa hukumu ya matendo yake duniani. Ni katika wakati huu ndipo atajuta haya yote aliyofanya.

I rest my case maana nna majonzi mno
R.I.P Ben
 
Sijui leo hii kama unakumbuka hii pumba uliyoandika?? Ni kwa akili kama zako ndio maana Tanzania ni nchi maskini sana licha ya kuwa na rasilimali... Tunakosa kabisa watu wenye reasoning na uwezo wa kuchanganua mambo ndio maana mnaongea lolote tu mnalojisikia bila kupiga hesabu ya impact yake kwa miaka 5 au 10 ijayo!!

Shame on you

Said Kubenea Mbunge wa Ubungo wa Chama chako nae anaamini Ben yupo kijiweni kajificha apate kick ya Kisiasa
 
Hapa duniani kila moja yuko "Transit", either unaelekea pema au pabaya na haijalishi wewe ni nani, unaamini, huamini lkn huo ndio ukweli.

Mema na mabaya tunayofanya hapa duniani, malipo huanzia hapa hapa duniani.
 
Halafu muuaji huwa hasemi,anakuweka kwenye tageti tu,mwisho wa siku tunasikia matanga.
Hivi wee kipindi kile unataka kumwekea Zitto sumu ulisema?
acha mambo yako.

Hatimae roho yako imeridhika sasa. Kisasi cha hii damu ki juu ya mkono wa Mungu Mwenyewe.. Mwenye enzi Mungu atawatia alama hata mfiche nyuso zenu vipi enyi kina Kaini mliooga damu ya kijana huyu asiye na hatia..

Sijui mtauweka wapi uso wenu siku mtakapowekwa wazi na maouvu yenu ya kulisha chatu watu wasio na hatia
 
hivi huyo aliyempoteza Ben ina maana watoto wake wa kuwazaa anatembea nao saa zote mfukoni mwake? maana akumbuke kuna mtu mwenye akili kama zake naye anaweza kuja kuwapoteza one day!
Umeongea jambo la maana sana. Ni vizuri tukaanza kufikiria malipo kwa hawa watu.

Huu uzi unaumiza sana, huyu Ben ana wazazi na ndugu zake wengine sijui wanajisikiaje huko waliko. Binadamu tunakosa utu namna hii, hivi unawezaje kula,kulala na kucheka huku ukijua mikono yako inatiririka damu za wasio na hatia. utaishi milele?
 
Dah....Kuna watu huandika/husema maneno ambayo huongeza thamani zao....kwa wote....maadui na marafiki...ama kwa kujua....ama kutokujua....[emoji41]
 
True uitwa karma,sema ndumba upumbaza wengi,

Back
Top Bottom