Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Huu uzi kila nikiikumbuka na watu walivyochangia imeshusha sana heshima za watu flani waliomponda Ben, ila kikubwa zaidi nimeiogopa JF,Kuna mtu Alicomment kabisa Kama atamuua na kweli chalii kapotea[emoji25] duuh humu hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lala mahali salama Ben Rabiu Saanane
Binadamu aliye zaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni CHACHE sana
Watesi wako hakika nao watakufa tu
Ben we will meet you there!!
Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…