Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona tunakumbushana maumivu.?
Mimi mwenyewe nimeshindwa niseme niniMbona tunakumbushana maumivu.?
Kinacho umiza huyu nae ni binadamu, ana familia, anawazazi, ana ndugu na marafik..... Kuna adhabu nyingi ambazo angepewa tofauti na aliyo pewa, wangemfanya hata kama Dr Ulimboka, then angetulia tu.Hakuna kitu kinaniudhi kama kuwa na chama cha upinzani harafu hakiwezi hata kulipiza kisasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatunabudi kukumbuka. Kuna watu wengi hawajui yaliyomkuta Ben yalishapangwa, alikuwa tayari kupambana kwa ajili ya kweli.Mbona tunakumbushana maumivu.?
Ulitaka kisasi kilipizwaje?Kwa hiyo kwa kulalamika kwenye forum kama hii itasaidia nini? Chama dhaifu kabisa hiki
Dada yangu ben nilkkuwa nikifahamiana nae kama bro, rafiki wa karibu na zaidi ndugu. Moyo wangu unasononeka kwasababu yake, alie'injinia kumteka MUNGU amlaani yeye na vizazi vyake.Hatunabudi kukumbuka. Kuna watu wengi hawajui yaliyomkuta Ben yalishapangwa, alikuwa tayari kupambana kwa ajili ya kweli.
Bado wapo leo hii utasikia wakileta utani kwenye mambo haya. Tuna hatari iliyo dhahiri, tulijitakia...tutayapata sawasawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujamaliza maisha hapa duniani, acha dhihaka, kumbuka ben anandugu jamaa na marafiki wanaohuzunika. Its better ukabaki silenceUlitaka kisasi kilipizwaje?
Nipo ww ndio husomeki humu jamvini.
Nazungumzia CHADEMA si ndugu zake na angalia niliyemnukuu aliandika nini??Mkuu hujamaliza maisha hapa duniani, acha dhihaka, kumbuka ben anandugu jamaa na marafiki wanaohuzunika. Its better ukabaki silence
Njia pekee ni kujibu vilevileDada yangu ben nilkkuwa nikifahamiana nae kama bro, rafiki wa karibu na zaidi ndugu. Moyo wangu unasononeka kwasababu yake, alie'injinia kumteka MUNGU amlaani yeye na vizazi vyake.
We Jamaa ni Zero brain sija pata kuona una tumia makalio kufikiria bila shaka!! (Middle Finger)ben yupo kwene vijiwe vya kahawa anakunjwa kahawa amejoficha anatafuta kiki ya kisiasa
Nimekuelewa mkuu nilkosea ku'quoteNazungumzia CHADEMA si ndugu zake na angalia niliyemnukuu aliandika nini??
Umesoma alichoandika? Yeye kasema CHADEMA ni chama dhaifu kinachoshindwa kulipiza kisasi. Mimi nimemuuliza anataka hicho kisasi kilipizwaje?Ndio nakwambia acha dhihaka chadema wanamiliki vyombo vya usalama.. Wao hawana option yeyote zaidi ya kupaza sauti sehemu mbalimbali iwe jf au popote.
LAANATULLAHben yupo kwene vijiwe vya kahawa anakunjwa kahawa amejoficha anatafuta kiki ya kisiasa
Nimekuelewa mkuu nilkosea ku'quote kwasababu ya panic ujumbe wangu ulikuwa special kwa huyo jamaaUmesoma alichoandika? Yeye kasema CHADEMA ni chama dhaifu kinachoshindwa kulipiza kisasi. Mimi nimemuuliza anataka hicho kisasi kilipizwaje?
Unaona maelezo yako yanaoana na mtiririko wa mjadala wetu?