Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Uhai hutolewa na Mungu, ila kama binadamu ameamua kukatisha maisha Uhai wako kwasababu tu ya siasa, Mungu huyo na anayashuhuduia yote
Mmoja wa washukiwa wa kupotea kwa Benard Saa Nane ametajwa humu ndani ya JF akitumia ID fake ya TumainEL , limenukuliwa andiko lake la kinyama akimtishia waziwazi Ben ya kwamba atamalizwa , Kwa manufaa ya jf ni vema mkiweka kumbukumbu sawa
 
I fell so sad for ben, walimshangilia wengi ila wanaolia ni familia yake. Mwenyekiti anasaini ruzuku milion 300 ... naomba niishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe ukifa mke/ mume, watoto, hata wazazi wako maisha yataendelea kama kawaida watoto wataenda shule na mama ataendelea na shughuli zake. Kwa hiyo ukitaka mwenyekiti wake waache kila kitu alisaini ruzuku kwa vile Ben amepotea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaohusika na kupotea kwa Ben Saanane ni Bashite na Baba yake dhalimu aliyesukumiziwa Ikulu.
Damu zilizomwagika zitawalilia wao na familia zao,vizazi na vizazi.Mungu hadhihakiwi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi unadhani kweli hutakuja kujulikana? Labda yawe mapenzi ya Mungu ndio haitakuwa hivyo.
Kumbuka hata GESTAPO walioshiriki mauaji wakati wa Hitler wengine wamekamatwa miaka 40 baadae huko South America

Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu hii ikiisha waanze kudeal na BASHITE,Yeye kabla siku mbili kupotea alikuwa na ahadi ya kukutana na BEN inaonekana alikuwa anamuingiza kwenye 18 zake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Makonda ndio kinara wameandika sana huku watu
DAB sijui anafanya haya kwa manufaa ya nini? Atambue Dunia hii ina miaka zaidi ya bil 4.5 inamaanisha kuna watu walikuwepo miaka hiyo 2000 iliyopita na wakapotea,America/Ulaya walikuwa na maghorofa miaka hiyo ya 1700 yaani miaka 310 iliyopita,miaka ya kuishia mwanadamu ni 63 kwa sasa ana 36!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom