Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Na hatimae chadema wenyewe wamemzimisha ili kutengeneza mazingira ya lawm kwa wengine. Kama alikuwa na wtegemezi masikini ndio basi tena, loooooh. Pole Ben ten saakumi.
Wangekuwa chadema sidhani kama wapenda sifa wangewaacha..... wangetafutia kiki ya kiua chadema. Unadhani wapate weakness kama hiyo alafu wabaki hivi. Kifo cha Akwelina tu wanapelekesha wao ijekuwa wao ndio wawe wamehusika na kifo alafu wabakishwe mtaani na wasivyopendwa na chama dola... unadhani wangesalimika kutoka kwenye mamlaka. Wangewekwa mahabusu kama wale mashekhe uhamsho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana wengine tunasema, hili jiwe mikono yake imetapakaa damu za watu wasio na hatia!! Halifai
Dah! Ukisoma hilo andiko unapata simanzi iliyopitiliza. Unaishia kusema malipo ni hapa hapa duniani. Waliofanya hivyo walivyofanya utafikiri wana hati ya kuishi milele na milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na mtu akuambie una zero form 4.... kama hauna zero si unamuumbua tu. Hivi watu wanategemea kwenye vyama vingi hautakosolewa hata yale yenye ukweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Account ya Ben nani anaitumia kwa sasa? Mbona inaonekana online?
Moderators tusaidieni.

Maneno ya Ben yalikuwa ya kishujaa sana, his legacy will live forever....watawala wana la kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu.

Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitumia app ya JF kila account inaonekana iko online hadi za waliofariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hata wao wamejutia waliyoyafanya nafsi ya mtu ukumbwa na hatia maishani mwao,japo wanakila kitu lkn hawana amani ya moyo wamepoa waliikimbizana na dunia wamegundua waliukimbiza upepo,Maisha si zaidi ya kula na kunywa wamegundua vyoote ni ubatili mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…