Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Oh! Kumbe waalimu pekee ndo wanatakiwa kuwa na ufahamu? Hata wenyeviti wa vyama vya siasa ni muhimu. Tusijikute vihiyo wa divisheni zero wanachukuwa nchi!
Mkuu, unajua ni kwa nini nimemwamkia KI MWALIMU MWALIMU? Ni kwa sababu hizo kosoa kosoa zake za, mara hapo ni coma, hapo unaanza na herufi kubwa, nk.
 
Mtu asiyekujua anaweza akafikiri upo pamoja na wananchi kumbe...
 
Nashukuru kwa huu ushauri..
Naomba usiweke 'like' hapa.
Hii ndio house style yangu, kutoa likes kwa kila mtu anaye ni quote, dawa pekee ya kuzuia kukereka na likes zangu ni never contributes kwenye any thread yangu, na nikichangia popote, never quote my post.
Uwe na amani, pole!.
P
 
Hii ndio house style yangu, kutoa likes kwa kila mtu anaye ni quote, dawa pekee ya kuzuia kukereka na likes zangu ni never contributes kwenye any thread yangu, na nikichangia popote, never quote my post.
Uwe na amani, pole!.
P
Na mara nyingi sifanyi hivyo. Kwa maksudi mazima.

Kwa kawaida magazeti yako humu huwa sina muda nayo kabisa.
 

Malipo yapo hapa hapa tunapoishi. Nawewe subiri malipo yapo na si muda sanaaaaa
 
Kuridirudi kwa huu uzi ni kukumbusha kuwa ipo siku wahusika watajibu
Na utaendelea kuwepo sana, hasa hiki kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Ni mhimu watu wakumbushwe aina za watawala walionao.
 
Kwamba ujuevyo wewe..aisee
 
Na mara nyingi sifanyi hivyo. Kwa maksudi mazima.
Kwa kawaida magazeti yako humu huwa sina muda nayo kabisa.
Na huu ndio uzuri wa jf, tuna members 539,035, walibandika threads 1,427,327 kwenye majukwaa tofauti tofauti 35, na posts 35,151,383, hivyo hata ungekuwa nani, you can't read all, na kwa vile if sio YouTube Channel kusema usiposoma unanikosesha mapato, hivyo its always good to save your time and bundle kwa kutosoma things you don't want, or things that will waste your time. Na ili kuepuka kuendelea kukereka na thanks zangu, I advise you, do reply this by a quote.

Have a good day and keep enjoying JF.
Thanks
P
 
No, I have to respond to this.

The point has been made, now you clearly know even if you can pretend not to know what the message was meant to deliver.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…