KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Nashukuru kwa huu ushauri..Kama likes zangu zinakukera sana, unaweza kuzizuia
Naomba usiweke 'like' hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa huu ushauri..Kama likes zangu zinakukera sana, unaweza kuzizuia
Mkuu, unajua ni kwa nini nimemwamkia KI MWALIMU MWALIMU? Ni kwa sababu hizo kosoa kosoa zake za, mara hapo ni coma, hapo unaanza na herufi kubwa, nk.Oh! Kumbe waalimu pekee ndo wanatakiwa kuwa na ufahamu? Hata wenyeviti wa vyama vya siasa ni muhimu. Tusijikute vihiyo wa divisheni zero wanachukuwa nchi!
Mtu asiyekujua anaweza akafikiri upo pamoja na wananchi kumbe...Kwangu kutoa likes is an order of the day kuonyeshea appreciation kwa kila mtu anayechangia thread yangu, kwa kila mtu atakaye ni quote mchango wangu kwenye bandiko lolote, na pia huwa namwaga like kwa kila post ninayoisoma na kui appreciate hata ukinitukana, utakula likes, mini kwangu likes ni za Kumwaga. Kama likes zangu zinakukera sana, unaweza kuzizuia
P
Hii ndio house style yangu, kutoa likes kwa kila mtu anaye ni quote, dawa pekee ya kuzuia kukereka na likes zangu ni never contributes kwenye any thread yangu, na nikichangia popote, never quote my post.Nashukuru kwa huu ushauri..
Naomba usiweke 'like' hapa.
Na mara nyingi sifanyi hivyo. Kwa maksudi mazima.Hii ndio house style yangu, kutoa likes kwa kila mtu anaye ni quote, dawa pekee ya kuzuia kukereka na likes zangu ni never contributes kwenye any thread yangu, na nikichangia popote, never quote my post.
Uwe na amani, pole!.
P
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Na mara nyingi sifanyi hivyo.
Kwa kawaida magazeti yako humu huwa sina muda nayo kabisa.
Kuridirudi kwa huu uzi ni kukumbusha kuwa ipo siku wahusika watajibuRest easy kaka. Naumia sana kwa kutoweka kwako
MUNGU atatulipia
Na utaendelea kuwepo sana, hasa hiki kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.Kuridirudi kwa huu uzi ni kukumbusha kuwa ipo siku wahusika watajibu
Kwamba ujuevyo wewe..aiseeBen, una uhakika gani kuwa huyo aliyekutishia ni mtu kutoka serikalini? Isije ikawa umechezewa tu na vijana wa mtandaoni nawe umekimbilia huku kutafuta kiki. Nijuavyo mimi hakuna hitman mjinga aandike vitisho hivyo na namba ya simu juu. Na wewe una umuhimu au impact gani mpaka utake kuuawa wazi wazi namna hii?
Anyway jipe moyo shujaa wa Rombo na daima kumbuka kuwa ili chuma kiwe imara ni lazima kipite kwenye fukuto. You will be OK na huko mbele utakuwa mpinzani aliyekomaa. Siasa zina gharama. Good luck!
Na huu ndio uzuri wa jf, tuna members 539,035, walibandika threads 1,427,327 kwenye majukwaa tofauti tofauti 35, na posts 35,151,383, hivyo hata ungekuwa nani, you can't read all, na kwa vile if sio YouTube Channel kusema usiposoma unanikosesha mapato, hivyo its always good to save your time and bundle kwa kutosoma things you don't want, or things that will waste your time. Na ili kuepuka kuendelea kukereka na thanks zangu, I advise you, do reply this by a quote.Na mara nyingi sifanyi hivyo. Kwa maksudi mazima.
Kwa kawaida magazeti yako humu huwa sina muda nayo kabisa.
No, I have to respond to this.Na huu ndio uzuri wa jf, tuna members
539,035, walibandika threads 1,427,327 kwenye majukwaa tofauti tofauti 35, na posts 35,151,383, hivyo hata ungekuwa nani, you can't read all, na kwavile if sio YouTube Channel kusema usiposoma unanikosesha mapato, hivyo its always good to save your time and bundle kwa kutosoma things you don't want, or things that will waste your time. Na ili kuepuka kuendelea kukereka na thanks zangu, I advise you, do reply this by a quote. Have a good day and keep enjoying JF.
Thanks
P
Na mara nyingi sifanyi hivyo. Kwa maksudi mazima.
Kwa kawaida magazeti yako humu huwa sina muda nayo kabisa.
Huyo yupo jikoni...anajua rosti na chapati...Hauna cha nguvu wala nn? Damu ya mtu haiendi bure labda uwe kweli hujausika