Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Hitman afanyi kazi kibwege hivo yaani akupe taarifa wewe nani...halafu hakuna cha ajabu na ulichoandika ambacho kinaweza kuifanya serikali itetereke
After all Tanzanian we don't kill for nothing sana sana tuna kutesa kisaikolojia tu.
Au sio?
 
Ben, una uhakika gani kuwa huyo aliyekutishia ni mtu kutoka serikalini? Isije ikawa umechezewa tu na vijana wa mtandaoni nawe umekimbilia huku kutafuta kiki. Nijuavyo mimi hakuna hitman mjinga aandike vitisho hivyo na namba ya simu juu.

Daima kumbuka kuwa ili chuma kiwe imara ni lazima kipite kwenye fukuto. You will be OK na huko mbele utakuwa mpinzani aliyekomaa. Siasa zina gharama. Good luck!
Naamn hii comment hua inakusuta
 
Tetes zinasema makonda alihusika sana na mambo ya utekaji utesaji na uuwaji. Tuanze nae huyu
 
we ben acha porojo,kwanza we zulumati mkubwa,siku ya kwanza umejoin hapa jukwaani baada ya wiki alikuja manamke hapa kulalama ulimkopa huko kariakoo,we sasa hizo za kugandia n upambe hazikufikishi kokote laghai mkubwa
Hua wajisikiaje ukisoma hii comment yako
 
Msaliti hana sehem ndani yaa taifa hili. Don't waste your time tafuta huruma yaa jamii nakuweka namba zisizokuwepo kwenye mitandao. Hilo Ni taifa letu site na wasaliti hawana nafasi kuvuta pumzi hii nzuri Mungu aliwapa wa zalendo na sio wasaliti.
Narudia tena usipoteze muda wa watu kusoma mambo haya yasio na vina ukizingatii husemi ukweli kile unafanya gizani na kwa nini unayofanya gizani yasiwe giza la milele la maisha yako.....
Sema ukweli.....
Wenye dunia yenu
 
Ukitaka kujua kama unaishi kwenye taifa la hovyo ama lah, ni pale unapoona kuna mtu kama huyu anayelilia haki ya kuishi na bado anaikosa...

Na hata baada ya kuikosa haki yake ya msingi, bado hakuna anayejali kutoa majibu kabisa...
 
Nijiskie nini kwa huyo mpuuzi,nilimwambia zamani sana uko third world jiangalie.akabisha akawa mjuaji wanajua wenye kazi zao walichofanya.
Nilijaribu kumshtua tu kama mdogo wangu basi.
Hao wenye hizo kazi zao nao wako wapi Sasa hivi? Mungu ni mkuu na fundi Sanaa...
 
Unadhani ni sahihi kumuadhibu MTU anayekukosoa?
Sina haja kujua hayo,sio mwanasiasa na siipendi.
Aliingia kwa pupa akaondoka kwa pupa.sasa hatujui yuko wapi.
We unajiuliza mi najiuliza watu kibao wanajiuliza ila utafanyaje? Unaachilia mbali tu.
 
Back
Top Bottom