kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Wanaojidai mungu ni fundi kwa kumtwaa magufuli nawajua wengi mungu kafanya ufundi😂😂Hapa ndio utauona uwepo wa MUNGU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaojidai mungu ni fundi kwa kumtwaa magufuli nawajua wengi mungu kafanya ufundi😂😂Hapa ndio utauona uwepo wa MUNGU
Alipata kiwewe tu yuleBen ni mzima alimuona sehemu fulani anasoma magazeti!
UpuuziSiku mkijua kuwa mbowe mtu mbaya sana mtakuwa mmechelewa sana...kuhusu ben saa8 mtuhumia
No 1 [emoji117] ni mbowe
No 2 [emoji117] ni mbowe
No 3 [emoji117] ni mbowe
Nq kuna sababu za kimikakati kwanini awe ni mbowe ...ushahidi mwingine ni huu baada ya JPM kufariki uwezi kumsikia mbowe akiguswa na tukio la ben saa 8 hata kulidhungumzia huwa ni vigumi maana tukio la ben lilikuwa limesykwa maususi kwa ajili ya kumchafua jpm na taifa letu kimataifa.
.Hapa ndio utauona uwepo wa MUNGU
Wewe na nani,BEN nikimuonya hakunisikiliza,sikio likawa kubwaSio wote hatujui chochote kumhusu mjenzi huyo wa kizazi kipya cha wanasiasa chipukizi hapa Tanzania. Yupo anaejua alipo. Anayejua alipo yupo miongoni mwetu, na kila tunachozungumza kumhusu mwendazake huyu anakiona, yupo! Yupo anasonya kwa kuwa tu tumenyimwa uwezo wa kumjua ila yupo.
Huenda anaingia na makanisani kusali na kuwahubilia wengine lakini hajutii kuondoa roho ya mtu mwenye ndoto kama Ben. Na huenda anajitambulisha kama mtumishi lakini amesahau roho za watu ni sawa na kubeba furushi la laana kichwani.
Huenda ni kijana mdogo tu lakini namhakikishia hii laana itamla yeye na uzao wake wote, kama asipotubu na kujiweka wazi mbele ya Watanzania. Atubu na atueleze tu kokote ambako walimuweka huyu kijana asiye na hatia.
Tujue tu kwamba alikufa au amefungiwa sehemu ambayo hakuna mchana wala usiku, laana itamtafuna sana kama asipotubu hadharani.
Roho ya Ben ipo miongoni mwetu inazunguka haitakuacha salama wewe shetani ambae huenda ulikuwa na madaraka makubwa na sasa hauna tena. Laana itakutafuna wewe ibilisi ambae huenda ukiingia kanisani unalia sana machozi lakini vishindo vya roho ya Ben havitakuacha salama!
Jitahidi utubu, jitahidi sana kuomba toba kinyume chake kuna giza zito sana mbele yako. Tuambie ukweli Ben ulimzika wapi, ulimtupa wapi au anaishi wapi?
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu u aonywaye mara nyingi akishupaza shingo atavunjika na hatapata dawa.
Wewe dishi lako upepo mkaliBen ni mzima alimuona sehemu fulani anasoma magazeti!
Kama mimi ni mpuuzi ...fanya uchunguzi uone kama mbowe ana uchungu wowote na ben saa8 hapo utakuwa umejua ninacho kisemaUpuuzi
We jamaa mchochezi sanaKama mimi ni mpuuzi ...fanya uchunguzi uone kama mbowe ana uchungu wowote na ben saa8 hapo utakuwa umejua ninacho kisema
Hata ndugu wa ben saa 8 wana mashaka makubwa na mbowe kuliko mtu yoyote
Niamini mbowe ni mtuhumiwa no moja ndugu, " ukweli usemwe" ..ndani ya chadema wenyewe huu ukweli wanaujua ila unafiki ndiyo unaotumika kufichaWe jamaa mchochezi sana
Yaani Mbowe amekuwa na nguvu kuliko DIGIS na IGP?Niamini mbowe ni mtuhumiwa no moja ndugu, " ukweli usemwe" ..ndani ya chadema wenyewe huu ukweli wanaujua ila unafiki ndiyo unaotumika kuficha
Sasa kama unabisha tumia akili kidogo tu kwanini jpm amesha kufa ila hakuna uchunguzi wowote wala chadema awapigipigi tena kelele juu ya hivyo vifo ...hicho kifo kilitengenezwa na kikundi kiovu ndani ya ccm na chadama dhidi ya jpm ili kumchafua kimataifa ndiyo maana mbowe alipo anguka kwa ulevi alithubutu kusingizia serikali ya jpm hadi mabarozi wa west wakaanza kumwamini ila baada ya muda wakagundua ukweli kuwa ni muongo sasa niambie kwanini mbowe akusema ukweli kuwa pombe ndiyo imemwangusha na kuumia, alikaa kimya hadi ukweli ulipo bumbulukaYaani Mbowe amekuwa na nguvu kuliko DIGIS na IGP?
Hebu toa utopolo wako hapa.
Uongo mtupuSasa kama unabisha tumia akili kidogo tu kwanini jpm amesha kufa ila hakuna uchunguzi wowote wala chadema awapigipigi tena kelele juu ya hivyo vifo ...hicho kifo kilitengenezwa na kikundi kiovu ndani ya ccm na chadama dhidi ya jpm ili kumchafua kimataifa ndiyo maana mbowe alipo anguka kwa ulevi alithubutu kusingizia serikali ya jpm hadi mabarozi wa west wakaanza kumwamini ila baada ya muda wakagundua ukweli kuwa ni muongo sasa niambie kwanini mbowe akusema ukweli kuwa pombe ndiyo imemwangusha na kuumia, alikaa kimya hadi ukweli ulipo bumbuluka
Mchafu hachafuliwi, tumia akili. Hakuna mtu mouvu kama huyo mungu wako aliyefarikiSiku mkijua kuwa mbowe mtu mbaya sana mtakuwa mmechelewa sana...kuhusu ben saa8 mtuhumia
No 1 [emoji117] ni mbowe
No 2 [emoji117] ni mbowe
No 3 [emoji117] ni mbowe
Na kuna sababu za kimikakati kwanini awe ni mbowe ...ushahidi mwingine ni huu baada ya JPM kufariki uwezi kumsikia mbowe akiguswa na tukio la ben saa 8 hata kulidhungumzia huwa ni vigumi maana tukio la ben lilikuwa limesukwa maususi kwa ajili ya kumchafua jpm na taifa letu kimataifa.
Jiwe alikuwa na PhD fake, huo ni ukweli.Ben saanane alikua ni mtu amejaa chuki tu na ubinafsi. Chuki kwa umma chuki kwa magufuli chuki kwa ccm. Baada ushindi urais wa magufuli kiongozi aliyebeba maslahi ya umma dhidi ya ubinafsi na kiburi cha waliyoona wana hati miliki kwenye haki na kuhodhi mali ben alitumika kujaribu kumdhalilisha magufuli na kuonesha ni mtu wa ovyo. Alifanya juhudi kubwa kuonesha magufuli hakupata degree yake ya PhD kihalali toka chuo kikuu cha dar es salaam, na kwamba shahada yake ni ya kugushi. Aliandika uongo na kufanya juhudi kiasi cha kustaajabisha kumkejeli magufuli. Hakika alijizolea maadui wengi miongoni mwa watanzania wenye fikra za kimapinduzi huku akionekana shujaa na wapinga maendeleo 'reactionaries'.
Ziko taarifa kwamba siku zake za mwisho kabla hajatoweka alitofautiana na bosi wake hadi kutishiwa maisha. Ila kama kawaida ya wapinzani wa ccm kupotea kwake inalaumiwa serikali ya ccm enzi za jpm.
Kuna watu wanakufa kwa sababu ya uovu wao, mfano halisi ni JiweSasa ameanza nani mkuu? Kwani kifo ni adhabu? Kwani kila anayekufa ameshiriki dhambi? Tulio hai hatujashiriki dhambi? Huku ni kujifariji kwa kujilisha upepo….kama kufa ni adhabu basi kila mtu anayo hakika ya kupata adhabu hiyo ikiwemo wewe.
Hivi kwanini serikali isilichome moto kaburi la yule nduli?Kama mimi ni mpuuzi ...fanya uchunguzi uone kama mbowe ana uchungu wowote na ben saa8 hapo utakuwa umejua ninacho kisema
Hata ndugu wa ben saa 8 wana mashaka makubwa na mbowe kuliko mtu yoyote