Ben Saanane, roho inayoishi ndani ya mioyo yetu. Ni faida gani umepata?

Upuuzi
 
Wewe na nani,BEN nikimuonya hakunisikiliza,sikio likawa kubwa

USSR
 
Kama mimi ni mpuuzi ...fanya uchunguzi uone kama mbowe ana uchungu wowote na ben saa8 hapo utakuwa umejua ninacho kisema
Hata ndugu wa ben saa 8 wana mashaka makubwa na mbowe kuliko mtu yoyote
We jamaa mchochezi sana
 
Pole Kaka kwa maumivu endelevu, lakini kumbukmbu zinaonyesha kuwa huyu tulishamjua maana alitajwa, asante kwa Mungu na Teknolojia. Tuliambiwa ni yule yule kijana aliyeonekana Dodoma siku ya shambulio la TL badala ya kituo chake cha kazi. Kwa imani kila jambo litawekwa peupe katika muda bwana alioufanya. Tuendelee kuwakumbuka wale wote waliodhulumiwa uhai wao
 
Niamini mbowe ni mtuhumiwa no moja ndugu, " ukweli usemwe" ..ndani ya chadema wenyewe huu ukweli wanaujua ila unafiki ndiyo unaotumika kuficha
Yaani Mbowe amekuwa na nguvu kuliko DIGIS na IGP?

Hebu toa utopolo wako hapa.
 
Kama Jf ingekuwa wazi kuona watu wapo humu tena wengine na tukio la lisu wanasifia kabisa.
Ni mtandao mkubwa sana hupo ccm
 
Yaani Mbowe amekuwa na nguvu kuliko DIGIS na IGP?

Hebu toa utopolo wako hapa.
Sasa kama unabisha tumia akili kidogo tu kwanini jpm amesha kufa ila hakuna uchunguzi wowote wala chadema awapigipigi tena kelele juu ya hivyo vifo ...hicho kifo kilitengenezwa na kikundi kiovu ndani ya ccm na chadama dhidi ya jpm ili kumchafua kimataifa ndiyo maana mbowe alipo anguka kwa ulevi alithubutu kusingizia serikali ya jpm hadi mabarozi wa west wakaanza kumwamini ila baada ya muda wakagundua ukweli kuwa ni muongo sasa niambie kwanini mbowe akusema ukweli kuwa pombe ndiyo imemwangusha na kuumia, alikaa kimya hadi ukweli ulipo bumbuluka
 
Uongo mtupu
 
Mchafu hachafuliwi, tumia akili. Hakuna mtu mouvu kama huyo mungu wako aliyefariki
 
Jiwe alikuwa na PhD fake, huo ni ukweli.
 
Sasa ameanza nani mkuu? Kwani kifo ni adhabu? Kwani kila anayekufa ameshiriki dhambi? Tulio hai hatujashiriki dhambi? Huku ni kujifariji kwa kujilisha upepo….kama kufa ni adhabu basi kila mtu anayo hakika ya kupata adhabu hiyo ikiwemo wewe.
Kuna watu wanakufa kwa sababu ya uovu wao, mfano halisi ni Jiwe
 
Kama mimi ni mpuuzi ...fanya uchunguzi uone kama mbowe ana uchungu wowote na ben saa8 hapo utakuwa umejua ninacho kisema
Hata ndugu wa ben saa 8 wana mashaka makubwa na mbowe kuliko mtu yoyote
Hivi kwanini serikali isilichome moto kaburi la yule nduli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…