J Joseph Gadiel JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 407 Reaction score 713 Feb 13, 2023 #41 Hivi siku ikija kubainika alifariki kutokana na kipigo baada ya kufumaniwa au mambo yake mengine binafsi hizi lawama zitafichwa wapi?.Tumwachie Mungu ahukumu.
Hivi siku ikija kubainika alifariki kutokana na kipigo baada ya kufumaniwa au mambo yake mengine binafsi hizi lawama zitafichwa wapi?.Tumwachie Mungu ahukumu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 13, 2023 #42 Inasikitisha sana...