Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Mkuu itakapokupata usiyasahau maneno ya RC Mghwira: "sijui ni wapi sikuzingatia masharti". Mwisho wa kumnukuu.

Huu ugonjwa ungali mpya sana mtu awaye yote kujimwambafai kama unavyojaribu kufanya.

Ni upya huo huo wa ugonjwa huu ambao uliigutua dunia na hatimaye ikadhihirika kuwa kumbe takwimu zote za mchina kuhusiana na vifo na maambukizi zilikuwa zote fix.

Mkuu wenzio wanaponyelewa .. chunga!
Unafikiri nini sasa huyo jamaa afanye? Anunue ventilator au achimbe kaburi?
Ushauri wako please.
 
Baada ya kunyanyasika vilivyo nchini Rwanda madereva wa malori wa Tanzania wamejichukulia sheria mkononi kuyazuia malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini.

Inasemekana baada ya Rwanda kuudhibiti ugonjwa wa Corona vilivyo nchini mwao, kitisho pekee kwa sasa kimebakia kuwa kutokea kwa wageni wanaoingia nchini mwao.

Katika hili inasemekana madereva wa malori kutokea nje wamekuwa ndiyo kitisho kikubwa. Takwimu zinaonyesha kuwa madereva kadhaa tokea Tanzania wamepatikana na virusi hivyo kwenye kuingia huko. Kutokana na hali hiyo, inasemekana Rwanda imebadilisha utaratibu wa malori kuingiza mizigo na sasa kuwataka madereva wa kutoka nje (Tanzania) kuishia mpakani. Utaratibu mpya unawataka madereva walioko (salama) ndani ya Rwanda pekee kuyafikisha malori Kigali na kuwarudishia mpakani.

Utaratibu wa ajabu kabisa. Nani atamwamini mtu asiyemjua na gari lake? Kujibu hilo madereva wa Tanzania nao wamechukua hatua zao na kuanzia jana inasemekana hali huko ni tete. Hakuna lori kutoka Rwanda wanaloliruhusu kuingia nchini. Vinginevyo nao wanawataka waishie mpakani kwa hali ile ile kama inavyotakiwa kwa wetu kufanya.

My take: Serikali inabidi kuingilia kati haraka iwezekanavyo na kuchukua hatua. Yawezekana hawa ndugu tuliowaachia mpaka wazi kwa kuwahurumia ya kwamba watataabika mno, huruma yetu hawaihitaji kabisa!

Kudos madereva wetu si mbaya mkuki kwa nguruwe kuwa ni ule ule kwa binadamu pia.
View attachment 1440166

View attachment 1440284

View attachment 1440167
View attachment 1440140
Mbona chato ipo karibu na Joni yuko pale kwanini asiwasiliane na ndugu yake Paulo kwamba haya mambo siyo
 
Tusishangilie uhuni,kila mtu akiamua kujischukulia sheria mkononi mwaka,hapa patakuwa hapatoshi,tunatakiwa kulaani kwa nguvu zote uhuni huo,wahuni sio serikali ,ni serikali ndio inatakiwa itoe maamuzi.
 
kwani rwanda wagonjwa wameisha?
Wamepona 129.
Active case 132.
tofauti yao na yetu ni ipi?
Si wangeendelea kukaa ndani
Uwe unatafuta mtu akutafsirie taarifa za habari, Lockdown imewasaidia kuflatten the curve.

Hii ni model ya kudeal na magonjwa ya maambukizi kama Covid-19.

Sasa wanaingia hatua nyingine ya kuruhusu shughuli za uchumi step by step.

Hii model ya kwenu sijui mmeitoa wapi. Kuanza na maombi ya miungu mbalimbali, Allah, Mizimu, Krishna, etc na kuignore WHO advise.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya bwana dereva umeshinda na bila shaka Rais wako atakupigia makofi kwa vile mawazo yenu yanafanana. Endeleeni kunyanyasa wateja wenu na kupima mapapai corona huku wafu wakibebwa na malori na kuzikwa usiku. Mimi niko mbali huku napambana. Huku niliko maziko yanafanyika mchana.

Tanzania ni nchi huru, siyo kila raia anakubaliana na maamuzi ya rais wetu, wapo wanaosema tuwaige nchi jiraninkama yenu, yeye kaona (kama kiongozi) njia tunayo pitia ndiyo nzuri. Jambo amablo ni zuri kwa kiongozi kusimamia unacho kiamini.

Hata nyie banyamulenge, maamuzi mlioyofikia ya kujifungia ndani, ni maamuzi yalio amuliwa na rais wenu kwa niaba yenu. Kwakuwa bado huu ugonjwa upo tu sana, mwisho wa siku njia iliyotumiwa na mmoja wetu, itakuwa bora kuliko ya mwingine.

Hata hivyo, mambo yanayo husu Internal Affairs yetu, tuachie wenyewe iwe mbaya au nzuri, ila siyo kibali cha nyie banyamulenge mtunyanyasie raia wetu au mtumie mwanya huo kujinufaisha kwa kuwapa ajira raia wenu wa malori kwa kuminya wakwetu.

Nafikr ni wakati sasa, baada ya Korona kuisha tu, kupiga marufuku malory yenu na nyie kuingia kufuata mizigo. Nchi zingine malory yao hayaji huku.
 
Unafikiri nini sasa huyo jamaa afanye? Anunue ventilator au achimbe kaburi?
Ushauri wako please.

Mkuu kununua ventilator labda awe Mo au Manji maana bei yake si mchezo. Kuanza kuchimba kaburi atajichosha si unajua mazishi husimamiwa na serikali na watu wasiozielewa kumi?

Hapo kwa msimamo wa serikali yetu anatakiwa kuwa mobile tu - (to keep fingers crossed).

Kwa maana serikali imeamua wa kufa afe wa kupona apone.
 
Tusishangilie uhuni,kila mtu akiamua kujischukulia sheria mkononi mwaka,hapa patakuwa hapatoshi,tunatakiwa kulaani kwa nguvu zote uhuni huo,wahuni sio serikali ,ni serikali ndio inatakiwa itoe maamuzi.

Mkuu hawa ni madereva tu ambao viwango vyao vya elimu labda unavijua.

Somo liliopo hapa:

Palikuwa na unyanyasaji, bila shaka kwa muda mrefu, bila shaka bila usaidizi. Bila shaka wakatambua kilichowaponza ni unyonge wao. Ndiyo maana wakaona hawana namna ya kuomba mapinduzi yaani mabadiliko.

Mkuu ni hivyo hivyo tulivyopata uhuru.

Madereva wako vizuri.

Mamlaka zinapopuuza na kukalia haki za watu wake ni vyema zikajua ni suala la muda tu.

Palipo na nia pana njia!
 
Hawa madereva wa Tanzania wakamatwe na kutiwa ndani kwani Rwanda iko sahihi kulinda wananchi na nchi yake.
 
Mbona chato ipo karibu na Joni yuko pale kwanini asiwasiliane na ndugu yake Paulo kwamba haya mambo siyo

Taabu ni kuwa Joni kapambana na Corona kimkanda mkanda siku 45 hatoki mtu nje. Sasa kumshawishi aridhie kuletewa Corona na wapiga nyungu nadhani ndipo ngoma ilipo.

Labda hapo sasa inahitaji kina Mbatia akili kubwa na SMS za usiku wa manane.
 
Pale jirani anapowafukuza watoto wa mwenzie ambao hawataki kuoga
 
Back
Top Bottom