Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Tusishangilie uhuni,kila mtu akiamua kujischukulia sheria mkononi mwaka,hapa patakuwa hapatoshi,tunatakiwa kulaani kwa nguvu zote uhuni huo,wahuni sio serikali ,ni serikali ndio inatakiwa itoe maamuzi.
UKimwaga ugali, namwaga mboga.

Hakuna uhuni wowote hapo, ni haki sawa kwa wote.
 
Kwa hiyo unataka kusema Beira ni mbali kutoka nchi zote nilizotaja hapo? Utakuwa haufahamu gografia.
Distance from Beira to kigali Rwanda ni 2,757.5 km
Na Distance from DSM to Kigali ni 1650km

Wapi mbali Mkuu.

Nyie ni wetu tu, hamchomoki.
 
Hao wa rwanda wakija huku hawataambukizwa hiyo corona?
Siasa za kitoto siasa za kitoto za Rwanda yaani madereva wa Rwanda wakija Tanzania hawaugui walala kudaka corona ?!!!!!! Wako corona proof!!!!! ila madereva wetu wa Tanzania wakienda Rwanda ndio wanapeleka Corona!!!! Ha ha ha

Madereva wa Tanzania komaeni watoto wa kiume tuko nyuma yenu tunawaunga mkono
 
UKimwaga ugali, namwaga mboga.

Hakuna uhuni wowote hapo, ni haki sawa kwa wote.
Haki ni two way traffic sio one way traffic kuwa madereva wa Rwanda waje kwetu Halafu wa kweti Tanzania wasiingie Kwao !!! Hilo Hakuna tunawaunga mkono madereva wetu
 
Wewe ndie mchangiaji mjinga kuliko yeyote kwenye hiii mada
Mvumilie tu Mkuu, hao wengi
1. Hawana baba wala mama, wazao wao waliondolewa na Genocide
2. Wana njaa, na mwenye nja huwa hawana busara na akili
3. Ina wezekana hata huyo, ni mmoja wa ombaomba wa kinyarwanda waliyepo Kbungo(COCKROACH)
 
Kagame ana akili.

Namuunga mkono sana kwenye hili
Yaani mimi nisacrifice kuthibiti Korona hadi kufikia kuwapunguzia watumishi mishahara halafu mijitu ya nchi nyingine ije iharibu sacrifice yoote eti tu. kwa sababu raisi wao anatafuta shortcut ya tatizo

Kagame tuko pamoja, uko sahihi mara mia na nakushauri ili kulinda Afya za Wanyarwanda pitisha mizigo Mombasa mpaka ujiridhishe kuwa Tanzania ni salama.

Endeleeni kujilinda sana ili sisi watanzania tukishakufa kwa korona sababu ya uzembe wa serikali yetu nyie mje mkalie na muishi katika ardhi hii maana nyie ni waafrika wenzetu. Bora nyie waafrika wenzetu mje muirithi nchi hii kuliko Wachina na Wazungu


We kilaza usijiite mTz.
 
Baada ya kunyanyasika vilivyo nchini Rwanda madereva wa malori wa Tanzania wamejichukulia sheria mkononi kuyazuia malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini.

Inasemekana baada ya Rwanda kuudhibiti ugonjwa wa Corona vilivyo nchini mwao, kitisho pekee kwa sasa kimebakia kuwa kutokea kwa wageni wanaoingia nchini mwao.

Katika hili inasemekana madereva wa malori kutokea nje wamekuwa ndiyo kitisho kikubwa. Takwimu zinaonyesha kuwa madereva kadhaa tokea Tanzania wamepatikana na virusi hivyo kwenye kuingia huko. Kutokana na hali hiyo, inasemekana Rwanda imebadilisha utaratibu wa malori kuingiza mizigo na sasa kuwataka madereva wa kutoka nje (Tanzania) kuishia mpakani. Utaratibu mpya unawataka madereva walioko (salama) ndani ya Rwanda pekee kuyafikisha malori Kigali na kuwarudishia mpakani.

Utaratibu wa ajabu kabisa. Nani atamwamini mtu asiyemjua na gari lake? Kujibu hilo madereva wa Tanzania nao wamechukua hatua zao na kuanzia jana inasemekana hali huko ni tete. Hakuna lori kutoka Rwanda wanaloliruhusu kuingia nchini. Vinginevyo nao wanawataka waishie mpakani kwa hali ile ile kama inavyotakiwa kwa wetu kufanya.

My take: Serikali inabidi kuingilia kati haraka iwezekanavyo na kuchukua hatua. Yawezekana hawa ndugu tuliowaachia mpaka wazi kwa kuwahurumia ya kwamba watataabika mno, huruma yetu hawaihitaji kabisa!

Kudos madereva wetu si mbaya mkuki kwa nguruwe kuwa ni ule ule kwa binadamu pia.
View attachment 1440166

View attachment 1440284

View attachment 1440167
View attachment 1440140
Nimempenda sana reporter wa tukio hili,MB zangu zimeenda kW haki kabisa
 
serekali iingilie kiti nini..,wao wamedhibiti ugonjwa sisi tunawapelekea ugonjwa we unadhani watakunalinkirahisi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa akili zako unazani sie tunashida hicho kimkoa kinachozidiwa eneo na wilaya ya mafia. Sie hatuwahitaji kwa lolote ni wafanyabiashara uchwara wa hicho kimkoa ndo wanunua Huduma za usafirishaji kwa matajiri wa malori tz, wasipokuja kununua hii Huduma wala hatuna habari nao kabisa

Kima mjane ahhh kila mtu ashinde mechi zake mnaenda kufanya nin kama sio njaa


Blackberry
 
Back
Top Bottom