Wanamjua Kagame au hawamjui.Hao madereva nawaunga mkono waendelee kukaza hivyohivyo Kama wao wanaambiwa waishie mpakani na madereva wa Rwanda waishie mpakani haki itendeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mombasa bandari ipowarwanda wajiulize kwanza nani anamtegemea mwenzake hapo , kati ya tanzania na rwanda nani anahitaji malori kuingia nchini mwake
nani mwenye bandari hapo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unafikiri nini sasa huyo jamaa afanye? Anunue ventilator au achimbe kaburi?Mkuu itakapokupata usiyasahau maneno ya RC Mghwira: "sijui ni wapi sikuzingatia masharti". Mwisho wa kumnukuu.
Huu ugonjwa ungali mpya sana mtu awaye yote kujimwambafai kama unavyojaribu kufanya.
Ni upya huo huo wa ugonjwa huu ambao uliigutua dunia na hatimaye ikadhihirika kuwa kumbe takwimu zote za mchina kuhusiana na vifo na maambukizi zilikuwa zote fix.
Mkuu wenzio wanaponyelewa .. chunga!
Hilo la kupitishia mizigo Mombasa nafikiri ni agenda yao kwa sasa M7, Kagame na Kenyattaunadhani ni rahisi kama ulivyoandika hapa,jipe muda hata kupitia ramani uone mambo yalivyo,ukiachia mbali fukuto lake la chini chini na m7.
Sent using Jamii Forums mobile app
dar port na mombasa wapi mbali
Wewe umekimbia kivuli chako mwenyewe si bora hao wanatangaza. Wewe na Rais wako takwimu zenu ziko wapi?Aliyekwambia wamedhibiti nani? Matapeli tu. Hizi takwimu ni za wanyarwanda au watanzania?View attachment 1441566
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona chato ipo karibu na Joni yuko pale kwanini asiwasiliane na ndugu yake Paulo kwamba haya mambo siyoBaada ya kunyanyasika vilivyo nchini Rwanda madereva wa malori wa Tanzania wamejichukulia sheria mkononi kuyazuia malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini.
Inasemekana baada ya Rwanda kuudhibiti ugonjwa wa Corona vilivyo nchini mwao, kitisho pekee kwa sasa kimebakia kuwa kutokea kwa wageni wanaoingia nchini mwao.
Katika hili inasemekana madereva wa malori kutokea nje wamekuwa ndiyo kitisho kikubwa. Takwimu zinaonyesha kuwa madereva kadhaa tokea Tanzania wamepatikana na virusi hivyo kwenye kuingia huko. Kutokana na hali hiyo, inasemekana Rwanda imebadilisha utaratibu wa malori kuingiza mizigo na sasa kuwataka madereva wa kutoka nje (Tanzania) kuishia mpakani. Utaratibu mpya unawataka madereva walioko (salama) ndani ya Rwanda pekee kuyafikisha malori Kigali na kuwarudishia mpakani.
Utaratibu wa ajabu kabisa. Nani atamwamini mtu asiyemjua na gari lake? Kujibu hilo madereva wa Tanzania nao wamechukua hatua zao na kuanzia jana inasemekana hali huko ni tete. Hakuna lori kutoka Rwanda wanaloliruhusu kuingia nchini. Vinginevyo nao wanawataka waishie mpakani kwa hali ile ile kama inavyotakiwa kwa wetu kufanya.
My take: Serikali inabidi kuingilia kati haraka iwezekanavyo na kuchukua hatua. Yawezekana hawa ndugu tuliowaachia mpaka wazi kwa kuwahurumia ya kwamba watataabika mno, huruma yetu hawaihitaji kabisa!
Kudos madereva wetu si mbaya mkuki kwa nguruwe kuwa ni ule ule kwa binadamu pia.
View attachment 1440166
View attachment 1440284
View attachment 1440167
View attachment 1440140
Ndo waende huko
Tusishangilie uhuni,kila mtu akiamua kujischukulia sheria mkononi mwaka,hapa patakuwa hapatoshi,tunatakiwa kulaani kwa nguvu zote uhuni huo,wahuni sio serikali ,ni serikali ndio inatakiwa itoe maamuzi.Baada ya kunyanyasika vilivyo nchini Rwanda madereva wa malori wa Tanzania wamejichukulia sheria mkononi kuyazuia malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini.
Inasemekana baada ya Rwanda kuudhibiti ugonjwa wa Corona vilivyo nchini mwao, kitisho pekee kwa sasa kimebakia kuwa kutokea kwa wageni wanaoingia nchini mwao.
Katika hili inasemekana madereva wa malori kutokea nje wamekuwa ndiyo kitisho kikubwa. Takwimu zinaonyesha kuwa madereva kadhaa tokea Tanzania wamepatikana na virusi hivyo kwenye kuingia huko. Kutokana na hali hiyo, inasemekana Rwanda imebadilisha utaratibu wa malori kuingiza mizigo na sasa kuwataka madereva wa kutoka nje (Tanzania) kuishia mpakani. Utaratibu mpya unawataka madereva walioko (salama) ndani ya Rwanda pekee kuyafikisha malori Kigali na kuwarudishia mpakani.
Utaratibu wa ajabu kabisa. Nani atamwamini mtu asiyemjua na gari lake? Kujibu hilo madereva wa Tanzania nao wamechukua hatua zao na kuanzia jana inasemekana hali huko ni tete. Hakuna lori kutoka Rwanda wanaloliruhusu kuingia nchini. Vinginevyo nao wanawataka waishie mpakani kwa hali ile ile kama inavyotakiwa kwa wetu kufanya.
My take: Serikali inabidi kuingilia kati haraka iwezekanavyo na kuchukua hatua. Yawezekana hawa ndugu tuliowaachia mpaka wazi kwa kuwahurumia ya kwamba watataabika mno, huruma yetu hawaihitaji kabisa!
Kudos madereva wetu si mbaya mkuki kwa nguruwe kuwa ni ule ule kwa binadamu pia.
View attachment 1440166
View attachment 1440284
View attachment 1440167
View attachment 1440140
Uwe unatafuta mtu akutafsirie taarifa za habari, Lockdown imewasaidia kuflatten the curve.
Hii ni model ya kudeal na magonjwa ya maambukizi kama Covid-19.
Sasa wanaingia hatua nyingine ya kuruhusu shughuli za uchumi step by step.
Hii model ya kwenu sijui mmeitoa wapi. Kuanza na maombi ya miungu mbalimbali, Allah, Mizimu, Krishna, etc na kuignore WHO advise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bwana dereva umeshinda na bila shaka Rais wako atakupigia makofi kwa vile mawazo yenu yanafanana. Endeleeni kunyanyasa wateja wenu na kupima mapapai corona huku wafu wakibebwa na malori na kuzikwa usiku. Mimi niko mbali huku napambana. Huku niliko maziko yanafanyika mchana.
hapana tz hatutosaida tena,hawa watu wanaroho za kinyama.wakianza kuchinjana tu dawa ni kufunga mpaka wasiingie huku tanzania kuna corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri nini sasa huyo jamaa afanye? Anunue ventilator au achimbe kaburi?
Ushauri wako please.
Tusishangilie uhuni,kila mtu akiamua kujischukulia sheria mkononi mwaka,hapa patakuwa hapatoshi,tunatakiwa kulaani kwa nguvu zote uhuni huo,wahuni sio serikali ,ni serikali ndio inatakiwa itoe maamuzi.
Mbona chato ipo karibu na Joni yuko pale kwanini asiwasiliane na ndugu yake Paulo kwamba haya mambo siyo
Sasa anawalindaje kama hao wananchi wake wanakuja huku kwenye corona??Hawa madereva wa Tanzania wakamatwe na kutiwa ndani kwani Rwanda iko sahihi kulinda wananchi na nchi yake.
We mnyarwanda umetoroka kwenu kwenye njaa Kali umekuja kuponea njaa TanzaniaMadereva wa TZ wana Korona wataambukiza Wanyarwanda kila watakapokwenda