Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

MEMBE AKIMSAMEHE WATANZANIA WATASIKITIKA NA KUMSHANGAA SANA MEMBE. MUSIBA AMEDHALILISHA WATU WENGI BILA HURUMA. IWEJE ASAMEHEWE. ACHA DENI LIMTESE MPAKA SIKU YA KWENDA KABURINI. HIYO NI ADHABU KUTOKA KWA MUNGU.
Kumsamehe Musiba ni sawa na kusamehe joka lililomo chumbani mwako
 
Hizi mahakama hizi, sasa Musiba bilioni 6 atapata wapi?

Wangemwambia atoe milioni 30 tu, akishindwa nyumba inauzwa anakuja Mlowo Mbozi kufanya vibarua kwenye mashamba ya kahawa.
Mkuu walitaka kumhukumu Musiba anyongwe, sasa kipengele cha kumhukumu kifo kikakosekana,sasa wanajua kuwa Musiba atajiua kwa sababu mali zake zote zitauzwa, halafu atafungwa kwa kudharau Mahakama kwamba kwanini halipi faini,hapo ndo litajiua hilo Boya
 
Mh. Membe, huyu jamaa hasikii karudi tena kwetu anasema eti tumsaidie kulipa hizo hela !!
 
Tunazingatia alphabet. Anna ,Bernard alipwe then Fatuma.

Kaka kwende na umri ya hukumu. Alipwe kwanza Fatma! Musiba ajiepushe na riba inayoingeza deni la Fatma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kauli ya membe ililenga kumkejeli magufuli siyo msiba "hasinmami tena"

Ccm wengi wamefurahia kifo cha shetani mwendakuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…