steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Mtu anajipiga chenga mwenyewe halafu unasema eti utafurahia kwa atakachokifanya,ule si uzwazwa mkuu,wenzetu wanafanya vile huku wakiwa wanakabiliana na wachezaji wa timu pinzani ana kwa ana,hapo ndipo ningemkubali,kwangu mimi ni wa kawaida sana labda kama ndio nimeanza kuangalia mpira leo ndio nitamshangaa.