Benard Morrison Acha Kabisa...

Hahahaaa. Walahi vile umefanya nimecheka. Lol

Hii hapa post ya Kiongozi wa Yanga JF, Yanga lia lia namba moja JF ikiandika hivyo.

Hakika Mkuu atatusaidia.

Nimejikuta nawakumbuka wale waliokuwa wanasema tumesajili mwizi. Kwa uchezaji ule hata kama alikuwa potelea pwete. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bingwa wa visingizio. Kungekuwa na Oscar ya visingizio basi wao ndio mabingwa bila kipingamizi.Wajibikeni. Mnashindwa kuwa handle wachezaji wenu mnawatupia lawama Simba ambayo ndio njia rahisi.Weka ushahidi Simba inahusika. Wacha UZUSHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…