Benazir Bhutto Assassinated!!

Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi hila, anayeua kwa upanga lazima naye kuna siku yatamfika.

Kweli ni utamaduni mbaya tuendelee tu na CCM yetu.
Mkuu Maryam

Tunachohitaji ni Maendeleo. Ambayo hayawezi kuletwa na Chama unachokisema milele
 
wajimini dats why i always say siasa is a very dirty game..wakati sie twatumia nguvu za giza like uchawi...wenzetu wanatumia silaha wanazozicreate wao wenyewe...mwisho wake ndo hufikiaga kama huku...halafu without shame wala aibu wakuta USA itamlaumu musharaf wakati ni mshirika wake mkuu na hawataki atoke madarakani...halafu na musharaf naye atajitetea na kutoa pole kwa familia as he is no more mkuu wa majeshi!
 
Huyu mama alijua kabisa kwamba probability ya kulamba mchanga ni 3/4. It was just only a matter of time. May her soul rest in eternal peace.

Any lesson for americans and his allies??? Kifo cha huyu mama kinaongeza pages katika mjadala wa: Exporting Democracy in Islam countries Re-examined.
 
by de way yasemekana alipigwa risasi ya shingoni ndipo jamaa naye akalipua bomu...mimi now najiuliza..hivi hizi bullet [rppf nazo wanazo vaa wakuu ni za kuzuia risasi za kifuanina mgongoni tuu?wataalam zaidi naomba mnisaidie kuhusu hilo
 
lakini sasa hapo wauaji ndo itakua tabu kuwapat je ni taleban na alqaeda au hao wajahidina ambao ndio walikuwa kila wakati wakimtishia kuwa akirudi pakistan wata mwuua ama ni musharaf na bosi wake Bush?
 
Huu ni mpango wa Al Qaeda tu!! Jamaa hawawezi kukubali kuona mwanamke anatawala!!!
 
RIP mama!

May your soul rest in Peace!

Kwa kweli as any other democracy loving human, Iam saddened by this heinous crime!

Al Qaed + US foreign policy + Islamic millitants=???
 

Very Sad but true,

Hii ni changamoto kubwa sana kwa wapiganaji. Mafisadi na wauaji watafanya kila wawezacho kukatisha tamaa mbegu ya ukombozi. She knew what would happen but yet she went back to Pakistan.

RIP Mama Bhutto, you will always be with us!
 
Watanzania mambo yetu tuongee- kwa amani- kama kuna fisadi ajulikane- apelekwe kwenye vyombo vya sheria - tuongee tu- kwa amani na uvumilivu!

Iwe CCM au CHADEMA au CUF - tujifunze kuvumialina na kuongea kwa upendo- ili kuleta mustahabali wa kifaifa!

Amani na umoja iwe mbele ya tofauti zetu za vyama Tanzania!
 

Mwafrika wa Kike:

Naomba usome kipande hiki kilichoandikwa na mtoto wa kaka yake Benazir Bhutto.

Aunt Benazir's false promises
http://www.latimes.com/news/opinion/la-oe-bhutto14nov14,0,2482408.story?coll=la-opinion-center



Kama alivyosema mchangiaji mmoja siasa ni mchezo mchafu.
 


Mambo Nambari oni (Numero Uno, Cislo Jeden) tu.
 
..hata Musharaf naye maisha yake yapo mashakani. Amenusurika zaidi ya mara 3.

..hii itakuwa ni hujuma ya Taliban/Al-Qaeda/Mujahideen/Siasa Kali.

..hata Baba yake Mama Bhutto aliuawa kwa sababu za kisiasa.

..RIP Bhenazir Bhutto.
 
Kweli ni utamaduni mbaya tuendelee tu na CCM yetu.


What do you mean by this? tafadhali sana usiihusishe CCM kwa namna yoyote na hili tukio. Wala Mtanzania yoyote kwa namna yoyote ile.
 
by de way yasemekana alipigwa risasi ya shingoni ndipo jamaa naye akalipua bomu...mimi now najiuliza..hivi hizi bullet [rppf nazo wanazo vaa wakuu ni za kuzuia risasi za kifuanina mgongoni tuu?wataalam zaidi naomba mnisaidie kuhusu hilo

Bullet proof vest haisaidii wala haimzuii mtu kukuua kwa sababu hiyo unaivaa kifuani tu na mwili si kifua peke yake. Kuna miguu, kichwa, shingo, mikono, tumbo, kiuno, n.k. Labda waje na bullet proof suit kama zile za wanaanga (astronauts) zinazokava mwili mzima kuanzia kichwa hadi miguu
 
What do you mean by this? tafadhali sana usiihusishe CCM kwa namna yoyote na hili tukio. Wala Mtanzania yoyote kwa namna yoyote ile.

Fuata thread inavyokwenda na sio kurukia posti yangu.
 
jamani msisahau kwenda shopping,leo ni 75% off,mimi ndio natoka huko,sasa yeye bhutto alikwenda duka ngani mpaka mauti yamemkuta ?
 

Kama za Willy Gamba.
 

but niliwahi kusikia zina nguvu ya kuvuta risasi kama sumaku ivutavyo chuma ili risasi ielekee kwenye bullet proof otherwise si ingekua haina maana maana ya nini mtu aangaike kupiga kifuani apoteze risasi yake ya ghali wakati anaona kichwa??
ndio maana nikataka wataalam wanaoweza jua zaidi kuhusiana na hizi bullet proof watuelezeee zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…