Benazir Bhutto Assassinated!!

Benazir Bhutto Assassinated!!

kwani wakuu mwataka niambia Marekani na musharaf hawaelewani?wangewezaje tumia air base na ardhi ya pakistan yao wakati wa vita ya afghanistan then??if walikua partner wazuri in bnez why watafute mwingine wamuweke??naomba nileweshe
 
Sisi Wanadamu thamani yetu ni nini?

Kwa nini tunachingiana kama kuku?
hii ni kwa kwa faida ya nani?

Naralete n september 11- je mbona sisi wanadamu tuna roho mbaya kiasi hiki?

Naomba majibu!

(a) Double standards
(b)Inequality, Poverty & Income Distribution
(c)Differences in Ideologies
(d)Social exclusion and deprivation
.
.
.
.
(z)corruption, greed, selfishness
 
Game,
she was no saint, I believe she played a vital role in the death of Gen Zia, her brother Murtaz and many more............in the end she wanted to be a martyr, and stupid al qaeda granted her a martyrdom. She had a chance to stay away from Pakistan and fight the famous "mwanakijiji fight"..........

Bit strange watching the BBC and some commentators calling her progressive. In what? filling her own boots with pakistani money? As far as AL Qaeda are concerned...dude AQ are not as stupid as you think due to the fluid nature of that organization.
 
Ni kwa kiasi gani au gharama gani damu ya mwanadamu iendelee kumwagika ndipo watawala wabadilike mioyo na kujali matakwa ya wananchi wao?

Ni maisha mangapi yaangamie ama kwa kujitolea au kutolewa kafara ili safari ya ukombozi unaohakikisha haki za watu wote na si kikundi kimoja katika jamii kujitwalia nguvu au madaraka zinatimilika?

Ni mpaka lini mioyo ya watawala walio wadhalimu, mafisadi, wala rushwa itaendelea kuwa migumu?

Dada Benazir, safari njema katika makao mapya. Jiunge na Martin, Abraham, John, Zulfikar, Rajiv, Patrice, Indira na wengine wote waliopoteza maisha yao kutetea haki za binadamu na uhuru wa kujitawala.

Harakati za ukombozi hazitakomaa bali zinagangamaa!
 
MORE INFO ON THE SO CALLED PROGRESSIVE BHUTTO:
Policies for women During election campaigns the Bhutto government voiced its concern for women's social and health issues, including the issue of discrimination against women. Bhutto announced plans to establish women's police stations, courts, and women's development banks. Despite these promises, Bhutto did not propose any legislation to improve welfare services for women. During her election campaigns, Bhutto promised to repeal controversial laws (such as Hudood and Zina ordinances) that curtail the rights of women in Pakistan. Her party never did fulfil these promises during her tenures as Prime Minister, due to immense pressure from the opposition.

Only after her stints as Prime Minister did her party initiate legislation to repeal the Zina ordinance, during General Musharraf's regime. These efforts were defeated by the right-wing religious parties that dominated the legislatures at the time.

http://en.wikipedia.org/wiki/Benazir_Bhutto#Policies_for_women
 
She had a warning before hand from the AL QAEDA,MI6 and the ISInot to return to Pakistan for her own security, but what did our OXFORD ALUMNI did?

One can also argue that Banazir was simply a victim of circumstances she never clearly understood.

In many ways, she was actually given the kiss of death by the Americans. As PM, she helped the Americans set up the Taliban and Al Queda. She has now been told that as a quid pro quo for having corruption charges dropped she had to become pour ainsi dire the American Proconsul in Pakistan.

She would have to wage war in Waziristan and Baluchistan, support the unconstitutional bid by Musharaf to remain president,etc all at the promptings of America. Her death is the answer of Pakistan to the American offer.

Thanks for your reply,
But one ought to ask more... for someone you describe to be a victim of circumstances, what value do you place to a subtantiated follower base that in no way can be discounted, since it's the same bunch that clearly relied on her to bring -whatsoever- change for good upon them. Are you really implying that for someone without own will can be compelled by Americans reside in Pakistan as their mere Proconsul?!! Are you forgetting traditions and cultures that she was well aware of before she made an attempt for a political comeback?!

SteveD.
 
Anyone seen this film? says alot about the role of the ISI in Pakistan
Charliewilsonwarposter.jpg

[media]http://www.apple.com/trailers/universal/charliewilsonswar/large.html[/media]
 
sasa hiyo habari yanichanganya wajimini does it mean kuwa huyu lady alitake part katika kumuua mdogo wake mwenyewee ambaye ni baba wa mwandishi wa hiyo habari wakati Benazir akiwa waziri mkuu???

That's correct aliyeandika ni mtoto wa kaka yake ambaye alikuwa katika chama cha upinzani kumpinga dada yake.
 
sasa hiyo habari yanichanganya wajimini does it mean kuwa huyu lady alitake part katika kumuua mdogo wake mwenyewee ambaye ni baba wa mwandishi wa hiyo habari wakati Benazir akiwa waziri mkuu???

Wala Hupaswi kushangaa Mkuu!,Mauti ya Mama Bhuto yalikuwa yanajulikana wazi,ilikuwa ni suala la Muda tu,Jamaa wa Intelligency (ISI) Huko Pakistan walikwishamtaarifu Mama kuhusu Utata wa Usalama wake,Lakini kwa kuamini Wakuu USA & Britain aliamua kuchukua Risk hiyo kubwa.Kifo chake kinahusishwa kabisa na hawa Wakuu wa Dunia,itakuwa si Haki kumlaumu sana Gen.Musharaff kwani nae siku zake zinahesabika!!!!

Tatizo kubwa la Pakistan sio Musharaff bali ni Taliban na ndugu zao Al-queda,kwani hata Gen.Musharaff tunaemlaumu keshanusurika mara tatu ktk kipindi kisichopungua mwaka mmoja.
 
kwani wakuu mwataka niambia Marekani na musharaf hawaelewani?wangewezaje tumia air base na ardhi ya pakistan yao wakati wa vita ya afghanistan then??if walikua partner wazuri in bnez why watafute mwingine wamuweke??naomba nileweshe

Kutokana na accounts za west, Gen. Musharaff ni stubborn sana, pia kashindwa kuchukua hatua wanazotaka US dhidi ya AQ ktk remote tribal areas kwenye boarder na Afghanistan.......kwa kifupi Musharaf hana mupya la kuchangia kwenye war on terror, hata kujiunga kwenye "coalition of the willing" ilikuwa baada ya kuaidiwa economic incentives na kuondolewa vikwazo vilivyowekwa baada ya kuwa "Pakistanuclear."

Now, Benazir alikuwa kahaidi kwenda "full nondo" against AQ popote walipo in Pakistan, ni rahisi kum-manipulate uki-compare na Musharaf.......ktk war on terror magharibi ingenufaika zaidi kwa geographical location ya Pakistan kama Benazir angepata uongozi!!!.
 
I cant find exactly correct words on this assassination.
SO SAD!
Mungu aiweka roho ya marehemu mahali pema peponi, Ameen.
 
Kutokana na accounts za west, Gen. Musharaff ni stubborn sana, pia kashindwa kuchukua hatua wanazotaka US dhidi ya AQ ktk remote tribal areas kwenye boarder na Afghanistan.......kwa kifupi Musharaf hana mupya la kuchangia kwenye war on terror, hata kujiunga kwenye "coalition of the willing" ilikuwa baada ya kuaidiwa economic incentives na kuondolewa vikwazo vilivyowekwa baada ya kuwa "Pakistanuclear."

Now, Benazir alikuwa kahaidi kwenda "full nondo" against AQ popote walipo in Pakistan, ni rahisi kum-manipulate uki-compare na Musharaf.......ktk war on terror magharibi ingenufaika zaidi kwa geographical location ya Pakistan kama Benazir angepata uongozi!!!.

You got it all wrong there playa,

CIA and US govt are more comfortable working with MUSHARAFF than BHUTTO

Check your facts
 
Ni habari mbaya sana kwa demokrasia ya dunia. Mungu awape subira familia yake na wafuasi wake wote. Ninaamini chama cha PPP kitapata mbadala wake mapema ili uchaguzi ulete mabadiliko ya kweli huko Pakistan.

Mungu awalaani wauaji wa maam Bhutto. Hakuna maelezo yeyote yanayoweza kujustify kifo hiki. Lakini ni bora kufa ukiwa umesimama (shujaa) kuliko kufa ukiwa umepiga magoti (kusalimu amri).

Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Mama huyo mojawapo ni perseverance na kuwa na misimamo isiyoyumba.
 
Wakina DO NOTHING humu JF tupo wengi sana! kazi yetu ni ku criticize tuuu! Wengi wetu humu hata kwenye daftari la kupiga kura hatumo! bado tunawananga wale wanaorudi makwao kuangalia namna ya kubadilisha maisha ya watu wao. Wengine mpaka wanasema ati huyu mama RIP angebidi abaki uhamishoni-kisa eti aliambiwa kwamba akirudi atauawa! Kibaya wanaocriticize wako wanafaidi maisha kwenye hizo nchi tunazoziita dhalimu! Si muondoke basi huko kuonyesha kwamba you dont agree with their policies? Hivi unafiki wa binadamu utaisha lini? Baniani mbaya....kiatu chake dawa... Mwananchi wa kawaida theories hazimsaidii, njoo kwenye uwanja wa mapambano. Hebu njoo basi ugombee hata udiwani uonje chungu ya CCM ndo uanze ku-criticize wanaojitoa mhanga kuitafuta haki!

Bhuto might have been imperfect, but lets give credibility where it is due! KWA HIYO WATU MLITAKA MAMA AENDELEE KUVUTA RAHA LONDON? Au aongoze mapambano dhidi ya serikali ya Musharafu kwa remote akitokea London? Perhaps maana hata hapa wengi tunapiga kelele dhidi ya mafisadi wakati ikija mda muafaka wa kuwaondoa watu hata kura hawapigi HARAFU UCHAGUZI UKISHA NDO WANAKUWA NAMBARI ONE KULALAMIKA! Peeewwwww!!!!!!!!!!
 
You got it all wrong there playa,

CIA and US govt are more comfortable working with MUSHARAFF than BHUTTO

Check your facts

Labda, I don't know......lakini kwanini walikuwa wanam-push Musharaf amruhusu kurudi?? ninavyoelewa mimi kulikuwa na party imeshaandaliwa in DC kushangilia ushindi wa PPP come January, ambayo maana yake ilikuwa hatua za mwanzo kwa Bhutti kurejea madarakani........kwanini basi AQ na Taliban wameamua kum-stop now??? Mzee mie mshabiki wa "Beltway," na hayo ndio yanayosikia kwa pembeni.......musharafu inasemekana amekula au kutumia vibaya $$$$ alizopewa kumsaka OBL!!.
 
Mwanakijiji nadhani hapa unaandika kwa hisia zaidi bila kuangalia ukweli wa mambo ulivyokuwa. Huyu mama (RIP)alikuwa na support ya wa-marekani na britain. Ukifuatilia historia yake,utagundua huyu mama alikuwa ni fisadi kama mafisadi unaowaona leo hii tanzania.

Huyu mama hakuwa na jipya zaidi ya kutaka kuendeleza ubabe wa marekani katika nchi zinazotawaliwa kwa kufuata misingi ya sharia. Wamarekani na waingereza walimuona kama ni mwenzao kwa vile amesoma katika nchi za magharibi (harvard & oxford).

Sasa unapompatia sifa zote hizo, wengine tunashindwa kukuelewa. Unless unamzungumzia benazir butto mwingine tofauti na huyu aliyekutwa na mauti leo hii.

mafisadi walio tayari kufa kwa ajili ya kuendeleza ufisadi wanatafutwa sana duniani. Yaani huyu mama alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya maslahi ya Wamarekani? Kuna vitu vinaingia akilini lakini hiki bado hakijaingia akilini. Alikuwa anaishi Uingereza na angeweza kukaa uhamishoni kwa miaka mingi tu na kula vinavyoviliwa. Kweli kutetea maslahi ya Wamarekani yalimfanya akubali kujiweka katika hatari?
 
Wakina DO NOTHING humu JF tupo wengi sana! kazi yetu ni ku criticize tuuu! Wengi wetu humu hata kwenye daftari la kupiga kura hatumo! bado tunawananga wale wanaorudi makwao kuangalia namna ya kubadilisha maisha ya watu wao. Wengine mpaka wanasema ati huyu mama RIP angebidi abaki uhamishoni-kisa eti aliambiwa kwamba akirudi atauawa! Kibaya wanaocriticize wako wanafaidi maisha kwenye hizo nchi tunazoziita dhalimu! Si muondoke basi huko kuonyesha kwamba you dont agree with their policies? Hivi unafiki wa binadamu utaisha lini? Baniani mbaya....kiatu chake dawa... Mwananchi wa kawaida theories hazimsaidii, njoo kwenye uwanja wa mapambano. Hebu njoo basi ugombee hata udiwani uonje chungu ya CCM ndo uanze ku-criticize wanaojitoa mhanga kuitafuta haki!

Bhuto might have been imperfect, but lets give credibility where it is due! KWA HIYO WATU MLITAKA MAMA AENDELEE KUVUTA RAHA LONDON? Au aongoze mapambano dhidi ya serikali ya Musharafu kwa remote akitokea London? Perhaps maana hata hapa wengi tunapiga kelele dhidi ya mafisadi wakati ikija mda muafaka wa kuwaondoa watu hata kura hawapigi HARAFU UCHAGUZI UKISHA NDO WANAKUWA NAMBARI ONE KULALAMIKA! Peeewwwww!!!!!!!!!!

Mimi simo kwenye daftari la kupiga kura kwa sababu natumia haki yangu ya kikatiba. Kujiandikisha kwenye daftari sio lazima.
 
Mimi simo kwenye daftari la kupiga kura kwa sababu natumia haki yangu ya kikatiba. Kujiandikisha kwenye daftari sio lazima.

Kabisa ni haki yako mkuu na naiheshimu!

Lakini Kwa sababu hiyo usilalamike when things dont work out in our country, when mafisadi wanatu-terrorize na wizi! maana you cant be part of the solution. Sana sana utakuwa unapiga kelele tuu ambazo hazina impact!
 
Labda, I don't know......lakini kwanini walikuwa wanam-push Musharaf amruhusu kurudi?? ninavyoelewa mimi kulikuwa na party imeshaandaliwa in DC kushangilia ushindi wa PPP come January, ambayo maana yake ilikuwa hatua za mwanzo kwa Bhutti kurejea madarakani........kwanini basi AQ na Taliban wameamua kum-stop now??? Mzee mie mshabiki wa "Beltway," nq hiyo ndio yanayosikia kwa pembeni.

SIMPLE ANSWER TO YOUR QUESTION:

Bhutto alishasema wazi wazi kuwa kama chama chake cha PPP kiki take take control of the parliament in January, she planned to order the country's armed forces to recapture all the territory taken by al Qaeda and the Taliban.

Hii inasound good right?

Kisha akaanza kuropoka kuwa she will go after drug cartels directing the opium trade in Afghanistan na unajua kuwa most of these these crime syndicates ziko Northwest Province na ndizo zinazota operating budget kwa ajili ya MAJIHADISTS ambo wamekuwa wakiburgeoning throughout the the Middle East and Central Asia during President George W. Bush's two terms in office..

Unanaanza kupata picha hapo?

According to a U.N. assessment released earlier this year,
Afghanistan now accounts for 92 percent of the world’s opium trade, with poppy cultivation reaching a staggering 165,000 hectares in 2006. It was the largest crop recorded in the history of the war-torn country, even though it has been occupied by U.S. and NATO forces since 2002.
Source ya hii data hii hapa:http://www.unodc.org/afg/reports_surveys.html

Nadhani unajua approach ya wa INGEREZA in AFGHANISTAN. wao walisema kama issue ni kueradicate poppy harveststhen hii undermine the effort to WIN HEARTS AND MIND OF AFGHAN PEASANTS...hii ndio policy ambayo hata Jeshi letu ilikuwa inafuata kule Liberia ya HANDS-OFF POLICY na zaidi ya yote kulikuwa na CCN report hivi karibuni ambayo ilisema kuwa only about 10 percent of the crops are destroyed each year per an agreement with the Karzai government ambayo jana iliwafukuza maofisa wa MI6 kwa kunegotiate with THE TALEBAN

JIBU LA SWALI LAKO NI:

Serikali za US and the UK do not see it as being in their interest to cause the wholesale destruction of opium production. Bhutto's statements (whatever her true intention) would not have been welcome in either The White House or Downing Street.
 
mafisadi walio tayari kufa kwa ajili ya kuendeleza ufisadi wanatafutwa sana duniani. Yaani huyu mama alikuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya maslahi ya Wamarekani? Kuna vitu vinaingia akilini lakini hiki bado hakijaingia akilini. Alikuwa anaishi Uingereza na angeweza kukaa uhamishoni kwa miaka mingi tu na kula vinavyoviliwa. Kweli kutetea maslahi ya Wamarekani yalimfanya akubali kujiweka katika hatari?

MwanaKijiji:

Alikuwa Uingereza kwa kukimbia mwenyewe baada ya serikali yake kushindwa kwenye uchaguzi na yeye na mumewe kutakiwa kujibu mashitaka ya rushwa.

Alirudi Pakistani baada ya Musharaf kutia saini makaratasi ya kufuta kesi yake. It was a deal "Scratch my back I will scratch yours".

India, Pakistani na Bangladesh zilikuwa nchi moja. Na kuna tabia katika nchi hizo ku-venerate familia fulani kama viongozi wa nchi hata kama watu wenye hawana kipya.
 
Back
Top Bottom