Benazir Bhutto Assassinated!!

Benazir Bhutto Assassinated!!

Mungu amuweke mahali pema peponi, Kind of Mwana mapinduzi maana alipewa nafasi mara mbili za kuongoza akashindwa tena vibaya sana, yeye na mumewe waliwaibia wananchi wa Pakistani jumla ya dola $ 1.2 Billion, a product of Oxford/Havard, alitawala kwa mabavu huku akidai in the public kuwa anakumbatia demokrasia, akawa kipenzi cha West, huku akijijengea maadui kila kona ya Pakistani,

In the end amefariki akijaribu kugombea alichoshindwa kukifanya in the past, baada ya kuwa Waziri Mkuu twice, tunampa heshima kwa sababu tu at least alikuwa akimkosesha usingizi dikteta Mushaaraaaf,

Otherwise, Mungu amlaze mahali pema peponi, Marehemu Bi Bhutto.
 
Game,
With all due respects, New Zealand is NOT in capitol letters a WESTERN COUNTRY!!! unless western country these dayz means any country with majority of whites(caucassians) regardless of the geographical location.
 
...master nafikiri hapo wewe ndio uko wrong,labda kama unaongelea geographical position lakini western countries not necessary ziwe west Europe or North america,hilo neno liko based in a political or economic context (developed nations) with high standard of living & democracy,nafikiri uko aware hata Japan,South Korea,Taiwan hata Israel are considered western countries.
 
Hivi wenzangu niwaulize swali, je demokrasia inaweza kuwa imported? Ukizingatia kwamba hilo ndilo lilikuwa kusudio kuwa la Benazir Bhutto na waliokuwa wanamsaidia (nchi za Magharibi na Marekani).

depends with what you mean by democracy in the first place. Lakini kama tutaondokana na semantics na ulimaanisha wester/liberal democracy yes unaweza uka import lakini not everywhere. Mfano mdogo USA iliamua kuivamia AFGHANISTAN under the pretext of installing deocracy and lierating Muslim women in KUNDIZ, MAZARI SHARRIFF, TORA BORA AND MUSA KALA white at the same time in the land of the free & home of the brave muslim men were being detained without trial in MICHIGAN, L.A, FLORIDA, NEWYORK, NJ and DC

Na kama kama hivyo haitoshi jaribu kuwaambia ARAB STREET about human rights and justice as a pillar of democracy..the obvious question waarabu watauliza what about GUANTANAMO BAY?
 
...master nafikiri hapo wewe ndio uko wrong,labda kama unaongelea geographical position lakini western countries not necessary ziwe west Europe or North america,hilo neno liko based in a political or economic context (developed nations) with high standard of living & democracy,nafikiri uko aware hata Japan,South Korea,Taiwan hata Israel are considered western countries.

wrong, wrong, wrong.......western countries haitumiki ati kwasababu nchi flani ina maendeleo. Inatumika kwa nchi za ulaya magharibi na north america. Matumizi zaidi ya hapo sio sahihi!!!!!.

Kama utaendelea kubisha, we endelea tu. Hata Bush alisha wahi kusema africa is a country blah blah blah and blah....... na wapo wengi tu hasa huku west wanao fikiria hivyo, lakini ukweli unabaki palepale.THERE IS NO POSSIBLE WAY OF NEW ZEALAND kuwa western country, atleast kwa matumizi sahihi ya western country!!!!.
 
Hebu acheni kubishana nyie, kwanini kuandikia mate wakati....
Mimi nimemtembelea rafiki yangu huyu hapa na kanipa yafuatayo:

Western world
From Wikipedia, the free encyclopedia

The term Western world, the West or the Occident (Latin occidens -sunset, -west, as distinct from the Orient) can have multiple meanings dependent on its context (e.g., the time period, or the social situation). Accordingly, the basic definition of what constitutes the West will vary, expanding and contracting, in relation to various circumstances. The historic West originated in the Mediterranean (ancient Greece and ancient Rome), came to include Central and Western Europe,.

Linguistically the frontier would run as far as the Indian subcontinent. Western society has survived and evolved due greatly to the efforts of the Greeks, Romans, more recently the European empires, and more notably the British Empire. Since Columbus, the notion of the West has expanded to include the Americas, though much of the Americas have considerable pre-Western cultural influence. As well, Australia, New Zealand, and South Africa are part of Western culture due to their former status as colonies of Western nations; in addition, Israel may be considered part of the West due to the European origins of many of its citizens (Ashkenazim), although it has many citizens who hail from the East as well (Sephardim, Israeli Arabs, & Druze).

In a political or economic context the term the "West" often includes developed nations such as Japan, Taiwan and South Korea. Japan, in particular, is a founding member of the G8, is a member of the OECD, is a democracy, has industrialized, has a high standard of living, high human development and is a major economic power -- all generally accepted characteristics of Western nations.[1]

South Korea and Taiwan also have a similar standard of living, high human development, and electoral democracy. However, these nations have different and distinctive cultures, religions (although Christianity is a major religion in South Korea), languages, customs, and worldviews that are products of their own indigenous development, rather than Western influences.

In a religious context, some would define the Abrahamic religions as 'Western'. However this would include the Islamic nations as well, which are not generally considered to be part of the West, at least in a political or cultural sense. Generally speaking, the current consensus would locate the West in, at the very least, the cultures and peoples of the mainlands Europe, the Americas, Australia, and New Zealand. There is debate among some as to whether Eastern Europe is in a category of its own. Culturally Eastern Europe (despite having mainly eastern orthodox and islamic influence) is more or less accepted into the 'West' although it does not fill the traditional economic and living standard criteria. [2]

Source: Wikipedia.

SteveD.
 
Email aliyoituma B. Bhutto kwa rafiki yake Mmarekani baada ya tukio la kwanza la kutaka kumuua kushindwa.

bhutto-email.jpg

bhutto-email2.jpg
 
Hivi wenzangu niwaulize swali, je demokrasia inaweza kuwa imported? Ukizingatia kwamba hilo ndilo lilikuwa kusudio kuwa la Benazir Bhutto na waliokuwa wanamsaidia (nchi za Magharibi na Marekani).

Kila kitu kinaweza kuwa imported.
 
Email aliyoituma B. Bhutto kwa rafiki yake Mmarekani baada ya tukio la kwanza la kutaka kumuua kushindwa.

bhutto-email.jpg

bhutto-email2.jpg

Unakumbuka CNN pamoja na rafiki zako kule FOX news waliripoti ile asubuhi ya 9/11 kuwa pasport ya Mohammed Attailiokotwa kwenye mabaki ya WTC 1

I can only imagine ALJAZEERA ENGLISH wanavyokamua sasa hivi
 
Hebu acheni kubishana nyie, kwanini kuandikia mate wakati....
Mimi nimemtembelea rafiki yangu huyu hapa na kanipa yafuatayo:

Source: Wikipedia.

SteveD.

Steve,
Hiyo ya wikipedia nadhani kila mtu anaijua......lakini kumbuka kwamba kila mtu anaingia humo na kuweka opinions zake. Kuna baadhi ya colleges hapa US zinakataza wanafunzi wake kutumia wikipedia kama reference!!!.

Hata hivyo kwenye definition hiyo ya wikipedia kuna maneno kama "expanded," "maybe considered," "culture and education"......pia kuna ile iliyo-base na wakati wa coldwar, kumbuka war on terror mstari haujachorwa kati ya west na east!!!. Kwa sake ya mazungumzo haya NEW ZEALAND sio WESTERN COUNTRY.

ingia www.jref.com humo tafuta tread ya "is japan a western country?," halafu utaona mgongano wa mawazo. Tuache ku-claim na kukubali kupotoshwa, je inaingilia akilini kuwa SA ni western country?? if yes, hiyo ilikuwa wakti wa makaburi.....so neno hili ni dynamic?? meaning nchi inaweza ku-earn kuwa west na vilevile inaweza ku-lose qualification za kuitwa west?? HALLLLLLLOOOOO!!!
 
YNIM, mimi wala sipendi kugongana na watu kwenye hizi definitions... kama unavyosema, the term is debatable and quite dynamic, and you know you can't really argue on something with a transient definition such like this, hivyo basi, nimefanya ku-refer kwenye wikipedia, pale watu nilipo ona hamuafikiani... ili hali nawe ukiwa umemkosoa adamantly Game kuwa kakosea hapo awali...

Kuhusu wikipedia, najua huwezi kuitumia hiyo kama academic reference kwenye vyuo kibao huko ughaibuni, lakini hapa bongo sijui kama vyuo vina mind sana...labda una lose marks tu..

Basi kama hamuamini wikipedia tafuteni Encyclopaedia Britannica au World Book Encyclopaedia...
 
YNIM, mimi wala sipendi kugongana na watu kwenye hizi definitions... kama unavyosema, the term is debatable and quite dynamic, and you know you can't really argue on something with a transient definition such like this, hivyo basi, nimefanya ku-refer kwenye wikipedia, pale watu nilipo ona hamuafikiani... ili hali nawe ukiwa umemkosoa adamantly Game kuwa kakosea hapo awali...

Kuhusu wikipedia, najua huwezi kuitumia hiyo kama academic reference kwenye vyuo kibao huko ughaibuni, lakini hapa bongo sijui kama vyuo vina mind sana...labda una lose marks tu..

SteveD.

Steve,
wala hatutagongana kaka, mie nimeshakuwa ktk mjadala huu wa nchi gani west na kadhalika before......ndio maana nilipoona Game kasema vile tu, nika-jump kwa lengo la kutaka kuelimishana hapa. Kama ulivyosema ni debatable, seems like wewe ni mwanafunzi mzuri kama mimi, hivyo nakuomba uingie kwenye www.jref.com tafuta thread ya is japan a western country? ni ya siku nyingi lakini inapanua mawazo!!!........

Kama ni kushindana kwa nia ya ushindi,? debate ya nchi ipi ni western na ipi sio huwa hainaga mshindi, ila sana sana ni kupanuana mawazo tu!!!. na hilo ndio lengo langu.

Game.......thread hajachukua detour wala nini, haya ni maneno ya "dizeti" baada ya mlo wenyewe!!.
 
Naomba hapa kuna haja ya kutoa elimu ya historia kidogo... Tunapozungumzia nchi za Magharibi haihusiani na eneo la jiographia au nasaba za watu. Baada ya Kanisa Katoliki kumeguka kwenye Utengano Mkuu wa 1054 (the Great Schism) kanisa lilijikuta likigawanyika katika pande mbili "Kanisa la Magharibi" ambalo lilikuwa na makao makuu Roma chini ya Papa na Kanisa la Mashariki lililokuwa na makao makuu Constantinople (Instanbul ya siku hizi). Makanisa haya na elimu iliyoendena nayo yaliinfluence culture, traditions, etc

Hata hivyo hiyo ilikuwa ni kama icying ya keki kwani kabla ya hapo tatizo kubwa lilikuwa ni kuvunjika kwa utawala wa himaya ya Waroma ambapo ilisababisha kuwa na Kaisari wa Roma na kule Mashariki (Urusi hasa) wakawa na szar wao.

Hivyo wale ambao walikuwa wamekuwa chini ya Utawala wa Kaisari wa Roma na utawala wa Kanisa Katoliki (lililobariki Wafalme wa Roma) walijikuta wakijitambulisha kama watu wa Magharibi na wale waliokuwa chini ya utawala wa Patriach wa Mashariki na aliyebariki szars wa mashariki walijikuwa wakijulikana kama jamii ya Mashariki.

Ni kwa sababu hiyo basi Urusi na nchi nyingi za Baltic ziko upande wa Mashariki ingawa zinawatu wengi ambao ni weupe na kijiographia ziko Europe na siyo Asia.

Kwa kifupi ni kuwa nchi zote ambazo baadaye zimefuata ustaarabu unaotokana katika Kanisa la Magharibi na mafundisho ya wanafalsafa wa kimagharibi wanajulikana kama watu wa Magharibi na wale wengio ni watu wa Mashariki. Bila ya shaka yapo na makundi mengine kama watu wa Mashariki ya Kati n.k Utaona kuwa kuna civilizations nyingi ambazo zimechangia ulimwengu wetu huu lakini ambayo imeshinda kwa athari zake kwa maisha ya watu ni Ustaarabu wa Magharibi.

- Hivyo kuna Ustaarabu wa Magharibi (the dominant culture and civilization)
- Ustaarabu wa Mashariki (Urusi, Balkan states etc)
- Ustaarabu wa Mashariki ya Mbali (Uchina, Japan, n.k )
- Ustaarabu wa India (a subcontintent)
- Ustaarabu wa Mashariki ya Kati (nchi za Kiarabu na za Kiislamu)
- Ustaarabu wa jamii nyingine (kama waafrika, n.k)

Hata hivyo kati ya staarabu nne (Ya Magharibi, Mashariki, Mashariki ya Kati na Mashariki ya Mbili) the driving force imekuwa ni dini.

Katika sisi Watanzania na nchi nyingi za Afrika (kama siyo zote) tuna kile ambacho Prof. Mazrui anakiita "triple heritage". Sisi tuna urithi wa ustaarabu wa Magharibi, wa Mashariki ya Kati, na Wa KIafrika. Na katika hayo matatu bado ustaarabu wa Magharibi unazidi kushinda (kwa mema na kwa mabaya).

Back to the mada maana nimeiona hiyo alama ya Game hapo juu. Swali ambalo ninajiuliza ni kuwa kama fundamentalists wana hoja na wanaamini hoja zao zina nguvu kwanini wanatumia nguvu kulazimisha hoja zao? Je, yawezekana kushinda kwa kutumia hoja. Hili lina implication kubwa sana katika mjadala wetu kuhusu Taifa letu.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikipigia kelele hii dhana ya "hoja hujibiwa kwa hoja" na ndani yake naona ya kuwa hoja yenye nguvu ikishinda na kushawishi akili za watu basi watu wataikumbatia. Kama Al Qaida wana hoja kwanini wasijenge hoja zao na wakawaacha watu waamue?

Kama Bi. Bhutto alikuwa ni mtu mwovu namna hiyo kwanini wasijenge hoja. Kwa jinsi ninavyoona ni kuwa Bi. Bhutto aliwashinda kwa hoja ndio maana wakaleta vioja. Je sisi katika Tanzania tunaweza kweli kushinda katika sanduku la kura bila kutumia vitisho na matumizi ya nguvu? Je watu wetu wanaweza kuamini na kukumbatia mapendekezo yetu bila ya vitisho vya mapinduzi ya kijeshi, vurugu n.k ? Kwanini hii lugha ya umwagaji damu inakuwa karibu wakati mwingine wakati sote tunajua kuwa tukiingia huko hakuna kitakatifu?

Hilo ndilo swali ambalo mwenzenu bado linanizonga kutwa nzima ya leo. Tunaweza vipi kujenga hoja watu wakazipenda bila kutumia vitisho vya matumizi ya nguvu, vurugu n.k?
 
Mkjj, very interesting read. Thanks.

SteveD.
 
Definition ya western culture ni "the modern culture of western Europe and North America". Kimsingi unaweza kusema definition hiyo inatokana kwa kiasi fulani na geaographical location ya nchi hizo. Lakini kutokana na utkutuku wa binaadamu na tabia zake za kutotaka kutulia nyumbani, unaona kuna nchi kama New Zealand, Australia na nyingine zina western culture lakini geographically zipo east au South.
Kuna nyingine zina aspect tu za estern culture, kama vile Japan ambayo kiuchumi na Kisiasa, ni western coutry lakini kijamii haina tofauti China na Koreas. Kuna nchi nyingi ziko Ulaya mashariki kama vile FYRs, kwenda east zote hizo hazina western culture. Kuna nchi kama South African ambayo it is very hard to call it a country with African culture, inaonekana kuwa hiyo nchi ni chotara wa utamaduni.
 
Mwanakijiji, labda kwa wao matumizi ya nguvu ni moja ya njia za kujenga hoja kwa sababu wana amini wakiua halafu na wao wakijiua wanaenda mbinguni. Sasa kwa wewe na mimi iyo inaweza isi-make sense kabisa lakini ndio ukweli wenyewe huo. Hata wao usishangae wakikuona wewe na mimi hamnazo na ni wagumu kuelewa kwa vile tunawaona wameishiwa na hoja. Karibu kwenye tofauti za kimitazamo!!
 
mmmmmh, shukrani MKJJ na Bongolander...........

Mkjj,
hoja kujibiwa kwa hoja ni nadharia nzuri sana, lakini tatizo lake pale panapoingia ushabiki na watu kuamua si kwa misingi ya hoja bali kwa ushabiki wao wa nani kasema!!. Hilo ni tatizo sana kuanzia kwetu TZ na nchi nyingi including US. Sasa ukienda mashariki huko, pindi hilo la ushabiki linapoingia ndipo watu wanapoibua mitutu na ku-drive home agenda zao kwa kumwaga cheche. Mie sipendi sana mambo ya OBL na qaeda, lakini pia nani kawapa nafasi ya kusimama na kutoa hoja zao waziwazi? Je, Algeria wale siasa kali waliposhinda kwanini walikataliwa kuunda serikali??(kama sikosei walikuwa wanajiita FIS), Hamas je? kuna wanaodhani OBL angeachiwa aendeleze harakati zake Saudia, pengine Ufalme ungeporomoka tena bila kumwaga damu.............sasa, mie najiuliza kama una kataliwa katakata kuweka hoja zako unazodhani ni halali mezani, hatua itakayofuata ni kufanya nini??!
 
Mwanakijiji, labda kwa wao matumizi ya nguvu ni moja ya njia za kujenga hoja kwa sababu wana amini wakiua halafu na wao wakijiua wanaenda mbinguni. Sasa kwa wewe na mimi iyo inaweza isi-make sense kabisa lakini ndio ukweli wenyewe huo. Hata wao usishangae wakikuona wewe na mimi hamnazo na ni wagumu kuelewa kwa vile tunawaona wameishiwa na hoja. Karibu kwenye tofauti za kimitazamo!!

Nyani, hoja (argument) lengo lake ni kushawishi akili na siyo hisia. Nguvu ya hoja inatokana na mambo makubwa mawili nayo ni ukweli (truth) na mantiki (logic). Hoja yenye nguvu ni ile ambayo ndani yake ina ukweli na pia inakubaliana na mantiki. Hoja ya namna hiyo inapotolewa basi mtu anayeiangalia au kuisikia analazimika kuamua kuiamini au kuikataa.

Yule anayekubali anakubali si kwa sababu nani ametoa hoja hiyo bali anagundua kuwa dhamira yake (conscience) haimruhusu kuukana ukweli na kupinga mantiki. Mtu anaweza kukataa hoja yenye nguvu kwa vile haipendi si kwa vile ni ya uongo au haina mantiki.

Hapo nyuma Game ametoa mfano wa Uzalendo wa Nyerere kuwa Mwalimu alikosa uzalendo kwa vile alipougua alienda na kufia uingereza badala ya hospitali ya Muhimbili (au hospitali yoyote ya nyumbani).

Sasa hiyo ni hoja ambayo mtu mwenye akili anaweza kuikubali au kuikataa. Ndani yake hoja hiyo ina ukweli kuwa Mwalimu alifia Uingereza na siyo Muhimbili. Hata hivyo inapingana na mantiki hasa kujaribu kuonesha kuwa mtu mgonjwa hawezi kuwa mzalendo wa kweli kwa vile amefia mbali na nyumbani kwake! Ndio maana nilisema mfano huo ni miongoni mwa mifano mibovu kabisa iliyowahi kutolewa duniani. Nadhani kiakili unazidi hata mfano wa "kupaa kwa ndege ya Lowassa"!

Nimesema hayo kuonesha kuwa matumizi ya nguvu hayawezi kuwa "hoja" hata kwa maana ya mbali. Ila hoja inaweza kulazimishwa kwa matumizi ya nguvu hasa hoja dhaifu. Kwa sababu hoja dhaifu haina ukweli na haikubaliani na mantiki.

YNIM, tatizo la kuwakubalia watu wanaotumia nguvu kutengeneza hoja zao ni kuwa hawawezi kuzilinda kwa kutumia akili bali kwa matumizi ya nguvu tu. Al Qaida wakipewa nchi waongoze ili waweze kuwashawishi watu juu ya "uzuri" wa hoja zao ni lazima watumie nguvu kwa sababu kuna watu wanaweza kuthubutu kuwaonesha kwanini hoja zao ni mbovu. Wale Taleban kule Afghanistan walifanya hivyo walipokuwa wanatawala ile nchi bila vitisho na matumizi ya nguvu hawawezi kutawala!

Sasa, matumizi ya nguvu yanashawishi hisia zaidi kuliko akili na ndicho hicho hawa extremists wanajaribu na ndicho kilichotokea Gaza!
 
Back
Top Bottom