Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 955
Mungu amuweke mahali pema peponi, Kind of Mwana mapinduzi maana alipewa nafasi mara mbili za kuongoza akashindwa tena vibaya sana, yeye na mumewe waliwaibia wananchi wa Pakistani jumla ya dola $ 1.2 Billion, a product of Oxford/Havard, alitawala kwa mabavu huku akidai in the public kuwa anakumbatia demokrasia, akawa kipenzi cha West, huku akijijengea maadui kila kona ya Pakistani,
In the end amefariki akijaribu kugombea alichoshindwa kukifanya in the past, baada ya kuwa Waziri Mkuu twice, tunampa heshima kwa sababu tu at least alikuwa akimkosesha usingizi dikteta Mushaaraaaf,
Otherwise, Mungu amlaze mahali pema peponi, Marehemu Bi Bhutto.
FM
Heshima juu mzee, nakubaliana na wewe kwa some point. Japokuwa inasemekana aliyekuwa corrupted sana ni mumewe, they use to call him "Ten Percent", means kila government deal yeye alitaka kula asilimia kumi.
Huyu mama mwanzo alikuwa against western, kama unakumbuka baba yake ndio alileta Nukes ndani ya ile nchi. Hii kitu ni very controvesial issue, with many speculations. Serikali ya Musharaf inaamua nani impe security na nani imnyime.
Hii case ni nzito sana, kuna consiperancy nyingi sana... Includes right wingers Muslim facist, Musharaf and his western allies or Al-qaida.
I can't see democrasia coming soon on that land, i think they diserv marshal law for a while. Nchi za Asia zina matatizo sana when it comes to interest groups with in the countries.
Mwenyezi mungu (S.W) amnusuru.