Hakatazwi kujiamni angalia kwanza nilichokiandika Kisha ukoment.
Huyo Andre onana unayemzungumzia hao Man u wenyewe hawana hamu nae.
METACHA NAE KIPA??Mashabiki wengi wana mihemko badala ya kutambua mpira wa sasa ni tofauti na wazamani.
Mechi ya Yanga vs Wale wa algeria, uliona madhara ya under confidence ya Metacha
Kuna michomo mingi aliichomoa kupitia mfumo huo huo, laiti angekuwa anakaa golini tu basi angefungwa mno na hata wanayanga wangemkataa mapema tuNilitazama mchezo wa Yanga vs Mtibwa Fc niliona kabisa alipaswa kuondoka na Clean sheet bila wasi wasi lakini kilichotokea alifungwa goli la kizembe/la kujitakia.
Mashabiki /wadau wa mpira hawakupiga kelele kwa kua Yanga iliibuka na ushindi mnono wa goli 4 kwa 1.
Ukitazama goli la Mtibwa sugar mfungaji alilifunga akiwa katikati ya uwanja baada yakuona Diara katoka golini akapiga mpira wakapata goli la kufutia machozi.
Hii siyo Mara ya kwanza Diara amekua na Tabia ya kutoka golini ipo siku timu itakosa point tatu muhi kwa uzembe/kujiamini sana kwa Diara.
Mfungaji wa goli la Mtibwa alisema "madhaifu ya kipa Diara ni kujiamini sana na ndiyo maana nilipiga mpira golini nikafunga"
Nichukue Fursa hii kuliambia benchi la ufundi la Yanga Sc kuwa waongee na Diara apunguze over confidence ipo siku ataikost timu kimasihara sihara.
Nawasilisha hoja.View attachment 2849810
Ni shimo la tewa sio hewa, ni gereza la kikatili sana huko +254Hakatazwi kujiamni angalia kwanza nilichokiandika Kisha ukoment.
Huyo Andre onana unayemzungumzia hao Man u wenyewe hawana hamu nae.
Goli feki lile atupe mfano haiKama kuna mfano mwingine tofauti na lile goli la mtibwa takubaliana na wewe sababu kulikua na foul ndio maana akasogea ila refa aka kausha
Hivi kuna uwezekano mtu akaonyeshwa kadi kwa kufanya faulo, na faulo isipigwe?Nilitazama mchezo wa Yanga vs Mtibwa Fc niliona kabisa alipaswa kuondoka na Clean sheet bila wasi wasi lakini kilichotokea alifungwa goli la kizembe/la kujitakia.
Mashabiki /wadau wa mpira hawakupiga kelele kwa kua Yanga iliibuka na ushindi mnono wa goli 4 kwa 1.
Ukitazama goli la Mtibwa sugar mfungaji alilifunga akiwa katikati ya uwanja baada yakuona Diara katoka golini akapiga mpira wakapata goli la kufutia machozi.
Hii siyo Mara ya kwanza Diara amekua na Tabia ya kutoka golini ipo siku timu itakosa point tatu muhi kwa uzembe/kujiamini sana kwa Diara.
Mfungaji wa goli la Mtibwa alisema "madhaifu ya kipa Diara ni kujiamini sana na ndiyo maana nilipiga mpira golini nikafunga"
Nichukue Fursa hii kuliambia benchi la ufundi la Yanga Sc kuwa waongee na Diara apunguze over confidence ipo siku ataikost timu kimasihara sihara.
Nawasilisha hoja.View attachment 2849810
Si ndio unataka Diarra akae golini kama MetachaMETACHA NAE KIPA??
KWA HIYO UKIAMBIWA TAJA MAKIPA WATATU METACHA UTAMTAJA??
UKIONA METACHA KAANZA WE HESABU MAGOLI TU.
KWENYE UZI WANGU NIMEMUONGELEA METACHA.Si ndio unataka Diarra akae golini kama Metacha
Mkuu , hapa sijakuelewa, refa aliruhusu vipi goli na faulo? Ina maana goli baada ya kufungwa, mpira haukuwekwa kati, ikawa ni faulo au, vipi sijakuelewa.ngoja nikwambie,goli lile sio kosa la diara,refa alishapuliza filimbi ya faulo,sasa diara hakuona umuhimu wa kuuzuia mpira,cha ajabu akaruhusu goli na faulo,sasa alitoa faulo ya nini,na ataruhusuje goli?
Kwani kipa ndio alichezewa faulo, Yaani mpira umepigwa kati kati ya uwanja , kipa asilaumiwe?nilijua kuna sababu ila kama gori la mtibwa hapana wala hakuwa na kosa
mlaumi refa aliruhusuje iee gori
Bila shaka refa alibet both teams to scorengoja nikwambie,goli lile sio kosa la diara,refa alishapuliza filimbi ya faulo,sasa diara hakuona umuhimu wa kuuzuia mpira,cha ajabu akaruhusu goli na faulo,sasa alitoa faulo ya nini,na ataruhusuje goli?
Msimu uliopita goli la Chivaviro wa south africa mechi iliyochezwa south alitoka bila hesabu mtu akapiga kichwa kambaKama kuna mfano mwingine tofauti na lile goli la mtibwa takubaliana na wewe sababu kulikua na foul ndio maana akasogea ila refa aka kausha
Uko sahihi kabisa. Diarra na magoli ya uzembe, ni kama tu uji na mgonjwa. Kwa kweli anatakiwa kujirekebisha.Nilitazama mchezo wa Yanga vs Mtibwa Fc niliona kabisa alipaswa kuondoka na Clean sheet bila wasi wasi lakini kilichotokea alifungwa goli la kizembe/la kujitakia.
Mashabiki /wadau wa mpira hawakupiga kelele kwa kua Yanga iliibuka na ushindi mnono wa goli 4 kwa 1.
Ukitazama goli la Mtibwa sugar mfungaji alilifunga akiwa katikati ya uwanja baada yakuona Diara katoka golini akapiga mpira wakapata goli la kufutia machozi.
Hii siyo Mara ya kwanza Diara amekua na Tabia ya kutoka golini ipo siku timu itakosa point tatu muhi kwa uzembe/kujiamini sana kwa Diara.
Mfungaji wa goli la Mtibwa alisema "madhaifu ya kipa Diara ni kujiamini sana na ndiyo maana nilipiga mpira golini nikafunga"
Nichukue Fursa hii kuliambia benchi la ufundi la Yanga Sc kuwa waongee na Diara apunguze over confidence ipo siku ataikost timu kimasihara sihara.
Nawasilisha hoja.View attachment 2849810
Ila bado halikuwa goli la kufungwa golikipa wa hadhi yake. Uzembe na kujiamini kupitiliza vilihusika pale.Ile game refa alibet both teams to score. Kabla ya mfungaji kupiga lile shuti kuna faulo ilichezwa pale na mchezaji wa mtibwa na sio diarra tu alitoka golini hata wachezaji wachezaji wengi wa yanga na mtibwa walisimama wakijua refa ataweka faulo
Wewe ni mgeni wa ligi ya bongo?Mkuu , hapa sijakuelewa, refa aliruhusu vipi goli na faulo? Ina maana goli baada ya kufungwa, mpira haukuwekwa kati, ikawa ni faulo au, vipi sijakuelewa.
Tuwape Ayubu mtupe DiaraUko sahihi kabisa. Diarra na magoli ya uzembe, ni kama tu uji na mgonjwa. Kwa kweli anatakiwa kujirekebisha.
Hata kwenye mechi iliyopwa ushindi Ihefu, lile goli la kwanza alishirikiana na beki wake Bakary Mwamnyeto kukisababisha.