Benchi la ufundi la Yanga SC linapaswa kumkanya kipa Diara apunguze kujiamini sana, ipo siku ataitumbukiza timu kwenye shimo la hewa

Upo sahihi, baadhi ya matukio huwa anafanya ni hatari sana akikutana na wachezaji wajanja kunasiku mechi muhimu atatuliza
 
Mashabiki wengi wana mihemko badala ya kutambua mpira wa sasa ni tofauti na wazamani.

Mechi ya Yanga vs Wale wa algeria, uliona madhara ya under confidence ya Metacha
METACHA NAE KIPA??
KWA HIYO UKIAMBIWA TAJA MAKIPA WATATU METACHA UTAMTAJA??

UKIONA METACHA KAANZA WE HESABU MAGOLI TU.
 
Nilitazama mchezo wa Yanga vs Mtibwa Fc niliona kabisa alipaswa kuondoka na Clean sheet bila wasi wasi lakini kilichotokea alifungwa goli la kizembe/la kujitakia.

Mashabiki /wadau wa mpira hawakupiga kelele kwa kua Yanga iliibuka na ushindi mnono wa goli 4 kwa 1.

Ukitazama goli la Mtibwa sugar mfungaji alilifunga akiwa katikati ya uwanja baada yakuona Diara katoka golini akapiga mpira wakapata goli la kufutia machozi.

Hii siyo Mara ya kwanza Diara amekua na Tabia ya kutoka golini ipo siku timu itakosa point tatu muhi kwa uzembe/kujiamini sana kwa Diara.

Mfungaji wa goli la Mtibwa alisema "madhaifu ya kipa Diara ni kujiamini sana na ndiyo maana nilipiga mpira golini nikafunga"

Nichukue Fursa hii kuliambia benchi la ufundi la Yanga Sc kuwa waongee na Diara apunguze over confidence ipo siku ataikost timu kimasihara sihara.

Nawasilisha hoja.View attachment 2849810
Kuna michomo mingi aliichomoa kupitia mfumo huo huo, laiti angekuwa anakaa golini tu basi angefungwa mno na hata wanayanga wangemkataa mapema tu

Kwa hiyo faida zake ni nyingi kuliko hasara.

Kikubwa umakini wa hali ya juu

Halafu inabidi ujue kuwa, wachezaji na kipa wakishaona mechi washaiwin hasa kipindi cha pili mwishoni lazima kutakuwa na overconfidence tu
 
Hakatazwi kujiamni angalia kwanza nilichokiandika Kisha ukoment.

Huyo Andre onana unayemzungumzia hao Man u wenyewe hawana hamu nae.
Ni shimo la tewa sio hewa, ni gereza la kikatili sana huko +254
 
Nilitazama mchezo wa Yanga vs Mtibwa Fc niliona kabisa alipaswa kuondoka na Clean sheet bila wasi wasi lakini kilichotokea alifungwa goli la kizembe/la kujitakia.

Mashabiki /wadau wa mpira hawakupiga kelele kwa kua Yanga iliibuka na ushindi mnono wa goli 4 kwa 1.

Ukitazama goli la Mtibwa sugar mfungaji alilifunga akiwa katikati ya uwanja baada yakuona Diara katoka golini akapiga mpira wakapata goli la kufutia machozi.

Hii siyo Mara ya kwanza Diara amekua na Tabia ya kutoka golini ipo siku timu itakosa point tatu muhi kwa uzembe/kujiamini sana kwa Diara.

Mfungaji wa goli la Mtibwa alisema "madhaifu ya kipa Diara ni kujiamini sana na ndiyo maana nilipiga mpira golini nikafunga"

Nichukue Fursa hii kuliambia benchi la ufundi la Yanga Sc kuwa waongee na Diara apunguze over confidence ipo siku ataikost timu kimasihara sihara.

Nawasilisha hoja.View attachment 2849810
Hivi kuna uwezekano mtu akaonyeshwa kadi kwa kufanya faulo, na faulo isipigwe?
 
nilijua kuna sababu ila kama gori la mtibwa hapana wala hakuwa na kosa

mlaumi refa aliruhusuje iee gori
 
ngoja nikwambie,goli lile sio kosa la diara,refa alishapuliza filimbi ya faulo,sasa diara hakuona umuhimu wa kuuzuia mpira,cha ajabu akaruhusu goli na faulo,sasa alitoa faulo ya nini,na ataruhusuje goli?
Mkuu , hapa sijakuelewa, refa aliruhusu vipi goli na faulo? Ina maana goli baada ya kufungwa, mpira haukuwekwa kati, ikawa ni faulo au, vipi sijakuelewa.
 
Bila shaka refa alibet both teams to score
 
Ile game refa alibet both teams to score. Kabla ya mfungaji kupiga lile shuti kuna faulo ilichezwa pale na mchezaji wa mtibwa na sio diarra tu alitoka golini hata wachezaji wachezaji wengi wa yanga na mtibwa walisimama wakijua refa ataweka faulo
 
Kama kuna mfano mwingine tofauti na lile goli la mtibwa takubaliana na wewe sababu kulikua na foul ndio maana akasogea ila refa aka kausha
Msimu uliopita goli la Chivaviro wa south africa mechi iliyochezwa south alitoka bila hesabu mtu akapiga kichwa kamba
 
Nilitazama mchezo wa Yanga vs Mtibwa Fc niliona kabisa alipaswa kuondoka na Clean sheet bila wasi wasi lakini kilichotokea alifungwa goli la kizembe/la kujitakia.

Mashabiki /wadau wa mpira hawakupiga kelele kwa kua Yanga iliibuka na ushindi mnono wa goli 4 kwa 1.

Ukitazama goli la Mtibwa sugar mfungaji alilifunga akiwa katikati ya uwanja baada yakuona Diara katoka golini akapiga mpira wakapata goli la kufutia machozi.

Hii siyo Mara ya kwanza Diara amekua na Tabia ya kutoka golini ipo siku timu itakosa point tatu muhi kwa uzembe/kujiamini sana kwa Diara.

Mfungaji wa goli la Mtibwa alisema "madhaifu ya kipa Diara ni kujiamini sana na ndiyo maana nilipiga mpira golini nikafunga"

Nichukue Fursa hii kuliambia benchi la ufundi la Yanga Sc kuwa waongee na Diara apunguze over confidence ipo siku ataikost timu kimasihara sihara.

Nawasilisha hoja.View attachment 2849810
Uko sahihi kabisa. Diarra na magoli ya uzembe, ni kama tu uji na mgonjwa. Kwa kweli anatakiwa kujirekebisha.
Hata kwenye mechi iliyopwa ushindi Ihefu, lile goli la kwanza alishirikiana na beki wake Bakary Mwamnyeto kukisababisha.
 
Ile game refa alibet both teams to score. Kabla ya mfungaji kupiga lile shuti kuna faulo ilichezwa pale na mchezaji wa mtibwa na sio diarra tu alitoka golini hata wachezaji wachezaji wengi wa yanga na mtibwa walisimama wakijua refa ataweka faulo
Ila bado halikuwa goli la kufungwa golikipa wa hadhi yake. Uzembe na kujiamini kupitiliza vilihusika pale.
 
Mkuu , hapa sijakuelewa, refa aliruhusu vipi goli na faulo? Ina maana goli baada ya kufungwa, mpira haukuwekwa kati, ikawa ni faulo au, vipi sijakuelewa.
Wewe ni mgeni wa ligi ya bongo?
 
Uko sahihi kabisa. Diarra na magoli ya uzembe, ni kama tu uji na mgonjwa. Kwa kweli anatakiwa kujirekebisha.
Hata kwenye mechi iliyopwa ushindi Ihefu, lile goli la kwanza alishirikiana na beki wake Bakary Mwamnyeto kukisababisha.
Tuwape Ayubu mtupe Diara
 
Back
Top Bottom