Benchi la ufundi la Yanga SC linapaswa kumkanya kipa Diara apunguze kujiamini sana, ipo siku ataitumbukiza timu kwenye shimo la hewa

Umeona tu ilmradi nawe umeonekana umeandika!
Kila kipa/beki duniani lazima afanye kosa ili mpinzani afunge bao.
Kila kosa ni uzembe.
 
1. Aache tabia mbaya ya kujifanya ameumia wakati akiona wamepata goli la kuongoza na matokeo yake analimwa kadi.

2. Aache kuwa na kihoro kwa kuacha goli na kukimbilia mpira nje ya eneo lake.
 
Tuwape Ayubu mtupe Diara
Yule Ayubu ni golikipa mzuri sana tu. Sema walinzi wake ndiyo wenye shida. Kuna wakati wanakabia macho, na hivyo kusababishia aonekane ni pazia.
 
Si bora wewe unasema sasa? Mimi zile mechi zote za CAFCC mwaka jana hasa kuanzia robo fainali kila mechi lazima pressure iwe juu kila Diarra akiwa na mpira!

Nilikuwa sina amani na nilipiga kelele sana.
Siku hizi nimemzoea wala sina wasiwasi tena.
 
Oyaa huyo Onana ni mwehu mtoe kwenye list
 
Jamaa kafanana sana na mtoto wa Mayele, maisha Yana Siri nzito
 
Daah ukimwangalia kipa wa Mamelodi ndio balaa ya kipa anaanzishiwa mpira na beki na muda wote wanafanya hivyo harafu beki anafungua aliefungua hapewi pass anapewa pass mwingine kabisa..unamlaumu Diara pass zake nyingi ni ndefu ila ana kiwango kikubwa cha usahihi zile mambo za Aswile kama kumwanya kwenye Morden football hazipo..makosa yapo wapo wengine wanasababisha hadi tuta Diara aliwahi fanya kosa goli la kwanza la Simba ila ni makosa machache kuliko faida ya kuchezea mpira wacha niwashe TV niendelee kuangalia usahihi wa Pass za kipa hapa...
 
🤣🤣
 
Leo ni goli la ngapi Kwa uzembe wake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…