CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
- Thread starter
-
- #41
vumilia tu hao makocha kila siku wanbembelezwa waende uwanjani sasa hatuendi tena tuwaachie makocha wa ukweli wakae wenyewe uwanjani na kujishangilia wenyeweTanzania kila mtu ni kocha, yaani nchi ina mamilioni ya makocha wa mpira. It's very strange.
Acha uongo wewe. Bocco angekuwa mzee angefunga goli 2 tena ugenini? Mbona hao vijana kwenye timu hawakufunga hata pass hawajatoaTuache majungu, mpira ni mchezo wa wazi. Mbinu za kocha zilifeli, wachezaji Kama Bocco, Wawa ni wazee hawatufai. Hakuna hujuma yoyote
Hizi hasira ungezipeleka Makao Makuu ya klabu yako, si muda huu mngekuwa mnagawana fito na tajiri yako Moo kwa kukichafua!!View attachment 1986344
MTOTO MDOGO WEEE KAMA NDUGU YAKO NI MOJAWAPO YA YALE MADUKA MANNE PALE NYUMA KATIKA DEFENCE YA WATU WATANO ILIYOCHEZA UKIMTOA INONGA MTAZITAPIKA TU ***** TUTAWAPIGA ALBADIRI HADI MUWE VIWETE...UEMONA HIYO TWEET YA MAGORI ? KAMUULIZE SASA UTHIBITISHO..MBWEHA WEWE MATAPELI TU NYIE MNAISHI MJINI KWA KUUZA MECHI NA KUUMIZA MIOYO YA MAMILIONI YA WATU
Yule msouth wa yanga ndio sumu ya soka la TanzaniaHabari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini , kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa
Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza
Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana wewe na wenzako na washkaji wenu waliocheza jana maana ni maduka yalikuwa kazini kwenye defence kasoro mkongo Inonga nakumbuka hadi kapombe alienda kuzuia ule mpira uliokuwa unaingia golini kwa wapinzani
Tafadhali fukuzeni matola na Gomez tu na mratibu wa team Abbas Gaza achunguzwe kwa umakini sana. PESA NA USALITI NI VITU VYA KUTISHA SANA
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa simba iliuza mechi au kuhujumiwa na baadhi ya wachezaji, au benji la ufundi. Timu inapita katika kipindi cha mpito kwa sasa. Tusitafute mchawiHabari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa
Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza
Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana wewe na wenzako na washkaji wenu waliocheza jana maana ni maduka yalikuwa kazini kwenye defence kasoro mkongo Inonga nakumbuka hadi kapombe alienda kuzuia ule mpira uliokuwa unaingia golini kwa wapinzani
Tafadhali fukuzeni matola na Gomez tu na mratibu wa team Abbas Gaza achunguzwe kwa umakini sana. PESA NA USALITI NI VITU VYA KUTISHA SANA
Na fungu la kurogea limetolewa wajanja wamekula wameingiza timu uwanjani kavukavu ikacheze mpira, matokeo ndio yale.Mimi nachojua wale jamaa hatujawaloga basi hayo mengine ni yenu....
Ila kama wangelogwa wale hata bao moja wasingepata
Timu mbovu imechoka,kocha wa hovyo,hakina kuuza hapoInasemekana ni mmoja wao kwenye hao makocha, mzungu hajui lolote maskini ya mungu sema kachachawa akili yake haiko sawa sasa hivi watu aliowaamini wamemsaliti vibaya sana
Ni goli zipi mbili kafunga ugenini, so ajabu unahadithiwa mpiraAcha uongo wewe. Bocco angekuwa mzee angefunga goli 2 tena ugenini? Mbona hao vijana kwenye timu hawakufunga hata pass hawajatoa
Mtatafuta sana mchawi mwaka huuHabari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa
Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza
Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana wewe na wenzako na washkaji wenu waliocheza jana maana ni maduka yalikuwa kazini kwenye defence kasoro mkongo Inonga nakumbuka hadi kapombe alienda kuzuia ule mpira uliokuwa unaingia golini kwa wapinzani
Tafadhali fukuzeni matola na Gomez tu na mratibu wa team Abbas Gaza achunguzwe kwa umakini sana. PESA NA USALITI NI VITU VYA KUTISHA SANA
Hawa Makolokolo wanadhani haki ya KUSHINDA ni yao tu? Wapuuzi nini.Tuache majungu, mpira ni mchezo wa wazi. Mbinu za kocha zilifeli, wachezaji Kama Bocco, Wawa ni wazee hawatufai. Hakuna hujuma yoyote
Bora wewe unajielewa na unatumia akili yako kudadavua mambo,na sio wengi hasa mleta mada ambae akili yake kamkabidhi Mwamedi na Magori. Yaani Viongozi wa Mikia washajua kucheza na akili zenu.Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa simba iliuza mechi au kuhujumiwa na baadhi ya wachezaji, au benji la ufundi. Timu inapita katika kipindi cha mpito kwa sasa. Tusitafute mchawi