Benchika kocha jina, muda utaongea

Benchika kocha jina, muda utaongea

Huyu kocha imetokea tu wana Simba kumpenda ndio maana hakuna anayefikiria swala la mbinu, ufundi, au upangaji wa kikosi bali lawama zinamuangukia Mangungu na Try again. Ila ukiangalia Simba ya misimu kadhaa nyuma ilikuwa sio bora ila makocha waliweza kutembea nayo kwa mbunu.
Robertinho kacheza na wachezaji hao hao wa kikosini na akaweza kuwabana ipasavyo Al Ahly. Robertinho kaondolewa sio kwa takwimu bali aina ya mpira na kufungwa na Yanga goli nyingi. Benchikha katupa taulo mapema kabisa.
Wachezaji hao hao kina Jobe na Fredwaa? Yaani seriously uwalinganishe kina Baleke na Phiri na hao jamaa.

Haya makolo yanafanya kila kitu uwanjani kasoro kufunga tu.
 
Back
Top Bottom