Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Muda ni lesson hatari sana kwa jambo lolote lile, tuendelee kusubiri muda (Mwalimu) tujue ni mihemuko tokana na ushindi wa mechi ya Makolokolo SC vs Wydad Casablanca au ni kweli sifa anazopewa Kocha mpya.Kocha bora hafanyi majaribio bila fact. Inawezekana huko mazoezini kuna vitu anaviona ambavyo vinampa confidence ya kuwapanga
Achana na ushindi itazame timu inavyocheza.Muda ni lesson hatari sana kwa jambo lolote lile, tuendelee kusubiri muda (Mwalimu) tujue ni mihemuko tokana na ushindi wa mechi ya Makolokolo SC vs Wydad Casablanca au ni kweli sifa anazopewa Kocha mpya.
Hata mechi 5 tu Simba SC haijacheza na Kocha mpya tayari mmeridhika, kweli Makolokolo hamna tofauti na Watoto wadogo kudanganyika kirahisi [emoji1]Achana na ushindi itazame timu inavyocheza.
Ulitaka shabiki afanyaje? Wasionyeshe matumaini, wasiridhike na mabadiliko ya timu, Wasiende uwanjani mpaka timu ishinde kombe.Hta mechi 5 tu haijacheza na Kocha mpya tayari mmeridhika, kweli Makolokolo hamna tofauti na Watoto wadogo kudanganyika kirahisi [
Wanga mumenuna kweli kweli na kesho ndiyo mtajinyonga kabisaMuda ni lesson hatari sana kwa jambo lolote lile, tuendelee kusubiri muda (Mwalimu) tujue ni mihemuko tokana na ushindi wa mechi ya Makolokolo SC vs Wydad Casablanca au ni kweli sifa anazopewa Kocha mpya.
Kila mtu ashinde mechi zake.Muda ni lesson hatari sana kwa jambo lolote lile, tuendelee kusubiri muda (Mwalimu) tujue ni mihemuko tokana na ushindi wa mechi ya Makolokolo SC vs Wydad Casablanca au ni kweli sifa anazopewa Kocha mpya.
Shinda mechi zako.Hata mechi 5 tu Simba SC haijacheza na Kocha mpya tayari mmeridhika, kweli Makolokolo hamna tofauti na Watoto wadogo kudanganyika kirahisi [emoji1]
Yanga ni kikundi cha wahuni halafu wachawi.Furaha yetu itatimilika kesho jioni in sha Allah bii idhni lllah
Utopolo hamna timu pale ya klabu bingwa.Furaha yetu itatimilika kesho jioni in sha Allah bii idhni lllah
Ni kweli sisi simba watu kadhaa kadhaa ni makolokolo, ila nyie pale jangwani wenye akili kichwani wanajulikana kabisa.Hata mechi 5 tu Simba SC haijacheza na Kocha mpya tayari mmeridhika, kweli Makolokolo hamna tofauti na Watoto wadogo kudanganyika kirahisi [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo utasemaa yoteee, na badooooMuda ni lesson hatari sana kwa jambo lolote lile, tuendelee kusubiri muda (Mwalimu) tujue ni mihemuko tokana na ushindi wa mechi ya Makolokolo SC vs Wydad Casablanca au ni kweli sifa anazopewa Kocha mpya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tujadili CL dear sis, league tupumzike kwanMashabiki bwana? Leo sifa zote zitamwagwa!
Ajichanganye tu afungwe na bingwa la nchi ndipo moto utakapowaka [emoji1787][emoji1787]