Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwa hizo goli nyingi why bado mnashikilia mkia kwa ligi ya mabingwa?hapohapo kwa Mkapa tena kwa goli nyingi!
Hao mlio wapiga goli nyingi hawapo mkiani, saaa nyie mabingwa mnakaa mkiani nini kimewazuia kuhama mkiani?