Benchika, kocha mwenye maamuzi magumu sana

Benchika, kocha mwenye maamuzi magumu sana

hapohapo kwa Mkapa tena kwa goli nyingi!
Kwa hizo goli nyingi why bado mnashikilia mkia kwa ligi ya mabingwa?

Hao mlio wapiga goli nyingi hawapo mkiani, saaa nyie mabingwa mnakaa mkiani nini kimewazuia kuhama mkiani?
 
Ha ha ha we subiri watakuja kumkataa huyu.
Siku zote Makocha wao Makolokolo huanza hivi hivi na tunakataza Makolokolo wasijiaminishe wana Kocha bora lakini mweee... Tangu 2019 Yanga SC imefukuzisha Makocha watano wa Manyaunyau SC ila Yanga SC haijafukuzisha hata Kocha mmoja [emoji1787].
 
Ulipaswa kujisikia aibu kushikilia bango la mkiani
Kwa hiyo hamjui kama mpo mkiani 😂

Nione aibu?.... 😂 Sipo mkiani bhana aibu ya nini wakati huo tupo juu kwa ligi ya mabingwa...

Anyway nyie ni mabingwa ila hamjafikia level ya kutoboa CAFCL so endeleeni kutamba tu huko jangwani 😁
 
Huyu kocha leo nimemvulia kofia, kumchezesha Duchu ambaye tangu asajiliwe hakucheza mchezo wowote halafu leo unamuingiza akashikilie bomba ilikuwa jambo la hatari sana.

Kumuingiza kiungo Abdallah Hamis ambaye naye hakuwahi kucheza hata siku moja ilikuwa ngumu kumeza, kupaki basi kuanzia dakika ya 60 ni uamuzi mgumu ambao ulitufanya wengi tushike bomba.

Kujaza mabeki saba nyuma haijawahi kutokea kwa muda mrefu sana, maamuzi magumu ya Benchika ambaye anafanana kwa sura na Bongo Zozo.
Anatembelea na kutekeleza falsafa ya Robertihno kwamba, "Objective (tamka 'OBJEKTIVE') is to win the game".
 
Back
Top Bottom