Benchika njoo utuletee mpira wa kasi ndani ya Msimbazi

Benchika njoo utuletee mpira wa kasi ndani ya Msimbazi

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Karibu kocha mpya wa simba na nakutakia mafanikio katika safari yako ya kuja kulibadilisha soka la simba kutoka kuwa soka la konokono (polepole) na kwenda kucheza mpira wa kisasa wa kasi kubwa.

Usiwachekee wachezaji ambao hawataki kuvuja jasho uwanjani.
 
Sisi kama viongozi wa simba tuna taka kuendelea na DNA yetu ya kupaki bus
 
Back
Top Bottom